President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,701
- 94,362
Acheni ujuha na kuassemble mabus sisi tupo ktk kuunda ndege πEndeleeni kuota.
Rais wa Sumsung Yupo Bongo. Wanaenda kwenye pesa tu.
View: https://x.com/ikulumawasliano/status/1841820569467052157
Tulisema giant anakuja hatua moja baada ya nyingine kuchukua nafasi yake,ni swala la muda tuππππ¨π¨π¨
View: https://x.com/The_EastAfrican/status/1840017121574588419?t=cAqrgyQmir8hsJJoooNGag&s=19
My Take: Tuliwapora soko la Uganda na Sasa tumewapora DRC Congo ππ
Kundustan sio mteja Wetu tena wa kutubabaisha.
Made ? You mean ile garage ya wahindi can make such machine
Uzuri wewe ndio unamjua zaidi kuliko wanaigunga Tabora wanaomfahamu hadi Babu yake
assembled not made fala wewe
Shangaa wewe, yaani jiji tu linatosha kuonesha kila aina ya Uchafu yeye yupo vijijini anasaka mabaya.πππππππππππ Vumbi kama Sayari flani kule π Marsγ Kumbe hapa hapa mjini CBDEEEEE π Times and CBK towers kwa mbele pale, Ki Hiace Kipo mjini lakini kimejaaa Tope nusu gari na haijulikani ni rangi gani π
Wakundustan Wachafu aisee
View attachment 3113788
watolee wapi hawa wako busy kukimbizana na makamu wa rais.match iko live inachezwa usiku dodoma wao sijui kama wana mechi za usiku mbwa hawaππ
View attachment 3113430