Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe huna akili, Yves kapita kwenye pori na national parks mpaka akavaa net zaidi ya wiki hakuna makazi kabisa analala kwenye tents na barabara yote ipo under construction, af unaongea kitu gani hapa?

Hamna makazi haya ni nini? View attachment 3113426
Haya, niambie hiyo barabara ni class gani? Yves kapitia hii barabara hapa kutoka Kigoma hadi Mpanda na ilikuwa vumbi tupu. Barabara Class B - Yani National Trunk Road. Wewe mjuaji niambie hiyo barabara ya Kenya unayoiponda ni class gani?

Screenshot 2024-10-02 194854.png
 
Haya, niambie hiyo barabara ni class gani? Yves kapitia hii barabara hapa kutoka Kigoma hadi Mpanda na ilikuwa vumbi tupu. Barabara Class B - Yani National Trunk Road. Wewe mjuaji niambie hiyo barabara ya Kenya unayoiponda ni class gani?

View attachment 3113438
Kundustan Barabara zipo Nairobi tu. Kwingine ni uchafu. Tembea kijana, acha kujificha kibera
 
Kundustan Barabara zipo Nairobi tu. Kwingine ni uchafu. Tembea kijana, acha kujificha kibera
Hata hizo za Nairobi nyingi ni za Zamani sana za enzi ya Moi na Kibaki na hazina drainage wala sidewalks kama za Dar na ndiyo maana mvua kidogo ikinyesha Nairobi ni bahari. Dar hizi BRT zimekuja na closed drainage na very beautiful walkways. Tumewaacha mbali sanaaaaa.
 
This is clearly a SADC Country. Most likely Tanzania. The middle line on Kenyan roads is yellow, not white and no Kenyan hind number plate has a white background. Mmejipiga own goal.
Siku hizi unapiga domo sana 😀 😀 😀 Tangu nairaland.com wakutengue ugoko akili zako zimehamia tumboni.
 
Which World are you talking about? 😀 😀 😀 tembea kijana acha kujifungia kibera.
Tangu niwaumbue hamjatembea nchi yenu sasa utashinda ukiniambia niache kujifunga. Naona ilikuuma kwelikweli. Unayemwambia atembee ukichukua mwezi mmoja tu kwa maisha yake utapata aliutembea kuliko ulivyotembea maisha yako yote. 😂 😂
 
Usicheze na huyo jamaa, huyo ametembea kwa matacore ya wanaume wengi sana😂😂😂
 
Back
Top Bottom