BATTLE RECAP
2017 Tuanaanza Wakenya walikua wanachukulia kila Mradi ni White elephants ikiwa
kisa tunajenga World Class infrastructure
Kigamboni Bridge
Salender
Kigogo Busis Bridges
Wami Bridges
Wakati tunaweka Render walikua wanatuwekea mombasa brigdes kama kawaida ikisindikizwa na adjectives
Ila Kigamboni Bridge imekamilika, Salenda (Tanzanite bridge) imekamilika kigogo Busisi ipo 90% ila Mombasa Bridge hakuna kitu.
SGR yao ilianza unguruma tukaanza kuambiwa tulete 1km mara ipo porini however as we speak yao imeishia porini yetu ipo very promising na Km za ujenzi zimeizidi functioning SGR yao. Electrified world class
Viwanja vya Ndege tulikua navyo vibovu hadi picha hazitamaniki ila Now asee mpaka tunaletewa picha ya ufunguzi wa viwanja vyao kisa kuogopa kuweka picha inayoonesha Tractors iko kazini
Before
Now
Umeme ulikua unasumbua mpaka tulikua tunaitwa nchi ya Giza, ila Baada ya Kujenga Kinyerezi gas generated plants na Baba lao
View: https://youtu.be/pRU6w6gJmfw?si=b4rqUzdzg8JNpy2A
Now tunasikiliza kwa Jirani na KPLC, KETRACO wanavyoingiza Airport Giza na Blackouts Counties
Tulikua tunaletewa sijui Konza Technopolis, Tatu City, Enzi za Kibaki, lakini Ndani ya miaka mitatu tumesimamisha Magufuli government city kuipa Dodoma hadhi kubwa skyline unaiona
Iconic Station
Sekta ya Usafirishaji wa umma now hatukamatiki
Ni vingi na vingine vimeendelea na yote Imefanyika ndani ya Kipindi cha Miaka saba (Miracle) indeed
Ndani ya Hicho kipindi cha Miaka saba total Project Values
1. Energy: JNHPP $6 Billion, Shinyanga Solar Energy $115m, Substations over $100m
2. SGR $30 Billion Mpaka ifike Burundi ($5billion) Mpaka ilipokamilika Dar - Dodoma (Ujenzi na Trains)
3. Airports: (Msalato $
329.47m) na vinginevyo inafika $1b
4. Kuimarisha Elimu (Boost (primary school) $500m, Secondary school (SEQUIP $500m), Elimu Bure hadi Sekondary
5. Irrigation scheme over $100m
4. Tourism $3.5b revenue
5. BRT nimechoka kuelezea
List inaendelea miaka hiyo yote over $50bill zimetumika ambazo damn nimesahau ufufuaji wa kubwa lao
yaani over
$50bil ambazo ni 80% ya GDP zimetumika. Imagine 80% na bado tunakopesheka GDP surplus kubwa kuliko mwenye $115bil full stalled projects, madeni ameyakusanya ndani ya kipindi cha miaka 7 mpaka GDP surplus imepotea.
Hapo unaona nani ndani ya miaka 7 amepiga hatua nani anarudi kinyume nyume. siku hizi wanatukana sana na kuleta picha za uzinduzi wa vitu.