Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na tanzania itakuwa inameshafikisha railway line Uganda na kuwapiga pin kwenye bandari yenu.
Are you aware Mombasa port alone handles more cargo than all the Tanzanian ports combined?

Are you aware that Uganda is already in the process of starting constructing their SGR towards Kenya?
 
and
kwanza kanusha kuwa wewe sio miongoni mwa wakenya wenye mental illness .huu ugonjwa naona umetapakaa sana kenya
are you aware kwamba uganda ana dry port kwala na tanga kwa ajili ya kusafirisha mizigo kwenda uganda.
kuhusu sgr kwenda kampala are you aware kwamba mpaka kenya haijapata finance ya kumalizia kipande mpaka malaba.
je wajua kwamba sgr isaka mwanza iko asilimia 67 kumalizika na washaanza kutundika nyaya za umeme?
je wajua kuwa tanzania ishamaliza kufanya feasibility study kufikisha reli ngeza ili iweze kwenda rwanda and another part ya uganda port wakati kenya bado hata uhakika wa kupata loan bado?
are you aware kuwa pale mwanza kuna meli zinajengwa kwa ajili kusafirisha mzigo kwenda entebe na mara sgr itakapokuwa imekamilika mwaka 2027 oparesheni zitaanza rasmi.
je wajua kuwa sgr kenya kufikisha mzigo contena 40ft ni zaidi ya usd 2700 wakati kutoka dar mpaka mwanza usd 1200 zaidi ya km 1200 na kutoka mwanza tu entebe haitafika usd 1000
je wajua pamoja na yote na hata kenya ifanyeje cost ya kuendeshe treni zenu hata zikiwa za umeme itakuwa twice the amount ya gharama ya umeme unaozalishwa tanzania.
 
Hoja gani unataka nijibu yet ulisema unanipuuza? Mr. Quack can’t you survive without me in this thread?😂😂😂
😂😂😂😂Heeee ona hii pang'ang'a.
Nilikupuuza kwenye mjadala wa breathing difficulties.
Hapa tupo katika mjadala mwingine kenge wewe.
 
Highway za USA hazina BRT
Highways za China hazina BRT
Highways za UK hazina BRT
Highways za Japan hazina BRT.

Only foolish Tanzanians wants Kenyan highway to have BRT😂😂
Hicho ndicho kichaka chako ukikamatwa mbupu?.

As if Mko level za USA, China, Japan na UK?

For you information wana dedicated bus lanes.
 
Wakundustan hii sio international airport, hii ni very domestic airport 90% inahudumia watalii, mainly wa mbugani, Kilimanjaro na Zanzibar connecting from our major international airports like JNIA, Kilimanjaro, Zanzibar lakini cha kushangaza bado mnajilinganisha na sisi,

Kwa watanzania sasa, angalieni jinsi mamlaka zetu za serikali zisivyo na akili, hili jengo ni jipya kabisa na lengo la ujenzi ni kutokana na udogo na uzamani wa jengo la awali, lakini em angalieni lilivyofurika tayari, je ni kweli walitumia akili timamu wakati wa design? Sababu tayari na lenyewe linaonesha limeshakua dogo 🙄

View: https://x.com/Jambotv_/status/1839707117412069438?s=19

View: https://youtu.be/NIms8_9QR-s?si=pcBgR2CVze6z08GU
 
but nahisi kuna nafas kubwa ya kufanya extension upande wa kulia nafas ipo ya kutosha
 
USA debt to GDP is 123%
Japan Debt to GDP is 263%
UK debt to GDP is 100%
Italy debt to GDP is 140%

So according to your stupid reasoning Tanzania imeshinda all those countries? Remember Tanzanian government borrowed some of SGR money from Kenya😂😂
Huwezi kujifananisha na collective west, wenzako wana vyombo (institutions) kama UN, IMF, WB NGOs. Hivi vinawabeba, wanavitumia kuwaingiza wengine mkenge ili walipe madeni yao. Ninyi mna nini cha kuwabeba?
 
Wakundustan hii sio international airport, hii ni very domestic airport 90% inahudumia watalii, mainly wa mbugani, Kilimanjaro na Zanzibar connecting from our major international airports like JNIA, Kilimanjaro, Zanzibar lakini cha kushangaza bado mnajilinganisha na sisi,

Kwa watanzania sasa, angalieni jinsi mamlaka zetu za serikali zisivyo na akili, hili jengo ni jipya kabisa na lengo la ujenzi ni kutokana na udogo na uzamani wa jengo la awali, lakini em angalieni lilivyofurika tayari, je ni kweli walitumia akili timamu wakati wa design? Sababu tayari na lenyewe linaonesha limeshakua dogo 🙄

View: https://x.com/Jambotv_/status/1839707117412069438?s=19

Aisee, ni juzi tuu Makonda alikuwa pale akilalamika wakati jengo halijakamilika, leo kila kitu poa. Nikikumbuka kile kibanda cha zamani, kwenye jiji la utalii, ilikuwa aibu sana.

Ila hayo ma AC unit kwanini wasiyafiche juu ya dari, yanaharibu uzuri wa jengo hapo mbele.
 
Back
Top Bottom