ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Alafu wakenya hawanaga moyo wa uvumilivu, wakiumia unajua kabisa aisee, sasa mtu unajiuliza wanaumia nn? Kwamba hawajui kuhusu huu mpira wa miguu tumewaacha mbali sana ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃWewe Jana mmewapiga nje ndani bila hata huruma unahisi wataonekana humu
nchi maskini hii mpaka akili zao ni maskini
๐๐๐๐
View: https://x.com/goddie_ke/status/1837587662401626555?s=46
Ndio maana nimekwambia you don't know anything about Kenya.Huyo ni mchimbaji mdogo na uchimbaji unahitaji ardhi tena kubwa, mkikuyu yupi atatoa ardhi yenye utajiri kwa mtu mwingine?
Vipi hawa wakulungwa hawajarudi tuu bado au ndio wanachungulia na kutoka fasta ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Tutegemee comeback ya apartments na Talanta leo kwa wingi ๐
Viboko tulivyowacharaza jana si mchezo, inatakiwa hawa waondoke humu tubaki pekeetu kudadadeki, na kama vp tutawafuata huko huko kwao kwenye ki platform jua kali sijui kinaitwa JamiiForums.com sijui kinaitwaje ila tutaulizia twende huko huko.Wana chungulia kwa mbali non NATO ally wewe unadhania vitasa vinavyotembea ni vya mchezo inaonekana usiku wamepiga pasi ndefu wameamka wakitafakari siku inaendaje na itaishaje
Dar ina watu milioni 7 mzee,ni wengi mno,ila kikubwa serikali ingeendeleza kwa viwanda na biashara moro na tanga kupunguza population ya dar,kuna miji kama rukwa,tabora,lindi hii miji mzee haina watu kabisa!Sรญo 400 tena. Yaan mabasi 2000 kwa Jiji kama dar ni funiko
Side walk za dar kwa yule youtuber wao zimewaumiza mno,sie tukiwaambia humu uwa wanaona tunawaletea ligi ila huu mrundikano wa youtubers wao wakiwa dar unawafunua akili,dar ni kubwa zaidi ya naikundu na dar inajengeka kila sehemu tofauti na naikunduWana chungulia kwa mbali non NATO ally wewe unadhania vitasa vinavyotembea ni vya mchezo inaonekana usiku wamepiga pasi ndefu wameamka wakitafakari siku inaendaje na itaishaje
bongo abiria wengi sana angalia wasafiri wa leo kwa mabus na treni2000 na zaidi h Dar pekee du kuna abiria wakutosha hata mwekezaji hawezikupata hasara ndio maana kila siku wakurugenzi wanaagiza vyuma piru
Viboko tulivyowacharaza jana si mchezo, inatakiwa hawa waondoke humu tubaki pekeetu kudadadeki, na kama vp tutawafuata huko huko kwao kwenye ki platform jua kali sijui kinaitwa JamiiForums.com sijui kinaitwaje ila tutaulizia twende huko huko.
Side walk za dar kwa yule youtuber wao zimewaumiza mno,sie tukiwaambia humu uwa wanaona tunawaletea ligi ila huu mrundikano wa youtubers wao wakiwa dar unawafunua akili,dar ni kubwa zaidi ya naikundu na dar inajengeka kila sehemu tofauti na naikundu
bongo abiria wengi sana angalia wasafiri wa leo kwa mabus na treni
SHABIBY
View attachment 3102892
SGR TANZANIA
View attachment 3102897
ABC UPPER COACH
View attachment 3102905
kaka huko rukwa,tabora na ukanda wake ni kupaacha hivyo maana panaaingiza Hela sana kupitia kilimo. Mpaka mwez may ufuta uliouzwa nje ni zaid ya trillion acha huko yawe maeneo ya kilimo ila tusambaze Barbara tuDar ina watu milioni 7 mzee,ni wengi mno,ila kikubwa serikali ingeendeleza kwa viwanda na biashara moro na tanga kupunguza population ya dar,kuna miji kama rukwa,tabora,lindi hii miji mzee haina watu kabisa!
Kinaitwa kenyantalkPopote pale walipo tunawafuata hukohuko kuna mtu alishawahi kusema itafika mda tutabakia wenyewe humu tukiminyana wenyewe nimeamini mda sahihi umefika
Maniner, Bado tunaongea kuhusu nani ni mkali wa Boli East and Central Afrika? Yanga ndio timu pekee yenye magoli mengi hadi sasa CAF Champions League, ndugu zetu nao kesho wamalize kazi tumalize huu ubishi. Shezi taipu.
View attachment 3102483
Unatupostia vitu ametear za Africa hapa!