ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,487
- 88,627
Gor kashaliwa bao 3.Chama keshatikisa nyavu.
Ndio maana manyang'au yote leo kimyaaa😎Gor kashaliwa bao 3.
Mtu kaliwa 6-0 alafu anataka kucheza na Yanga 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kabisa angalia mto Ng'ombe unatokea kimara kuja mpaka jangwani.Tumechelewa sana. Miji yote mikubwa nchi zilizoendelea mito inayokatiza kwenye miji hio ni vivutio vya mji.
Hii msimbazi imetuchafua sn wacha iondoke, wakenya sijui watapata wapi picha za unplanned houses 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pamoja na vidish vya StarlinkNgoja waje hapa sasa na vighorofa na express way ya Mchina
3-0 sasa hivi.
Baada ya Majini, na Ardhini sasa tumeanza kudominate angani, kazi imekaribia kuisha. Tuliwaambia hamkusikia, sasa tunawapa pipa la kuweka machozi shubamiti zenu.