Yanga miyeyusho mzee, hakuna wa kushindana naye hapa East, central, west and South Africa except mamelody pekee kule South Africa. Wapinzani wa Yanga kwa sasa wapo North Africa kwa baadhi ya timu tena chache hazifiki tatu.CBE kafa 6-0 huko.
Halafu Gormahia ndio ilitaka kucheza na sisi.
wamekula 3 tena jumla 6 😂😂😂😂CBE kafa 6-0 huko.
Halafu Gormahia ndio ilitaka kucheza na sisi.
Sure, kesho nipo Simba kwa muda.Maniner, Bado tunaongea kuhusu nani ni mkali wa Boli East and Central Afrika? Yanga ndio timu pekee yenye magoli mengi hadi sasa CAF Champions League, ndugu zetu nao kesho wamalize kazi tumalize huu ubishi. Shezi taipu.
View attachment 3102483
Atatumwa Bushman aje aweke picha ya Xpress way ya mchina 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣humu leo hawataonekana mpaka kesho
Hawa Al ahly mwaka huu naishi nao vzr kabisa, timu kama Gor Mahia upo kwako unaifungaje 3.wamekula 3 tena jumla 6 😂😂😂😂
View attachment 3102485
Angalau wamisri leo wametuondolea kadhia ya kusikiliza pumba za Teargas😎Kama kawaida, non football country 👇 👇 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 View attachment 3102394
Hawa Al ahly mwaka huu naishi nao vzr kabisa, timu kama Gor Mahia upo kwako unaifungaje 3.
Halafu walitaka kucheza na sisi aisee.wamekula 3 tena jumla 6 😂😂😂😂
View attachment 3102485
Youtuber wao yule dolphin 254 kawakimbiza kunyan humu leo,kila wakiiangalia ile video nguvu zimewahishiaMiaka miwili nyuma wakenya wakiongozwa na Bushman chuchunge walikuwa wanapiga picha hilo eneo lenye BRT EMU like station wakisema nyuma ya CBD kuna tope, tukawa tunawaambia hapo inapita BRT na siku hazigandi, leo wanajionea wenyewe wakenya wenzao wanavyogombania kupiga picha eneo hilo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Makolo washinde kesho tuendelee kuwa tushio africa,kesho niko na makolo wasituangusheNaombea Simba naye apite kesho ili haya masenge yakae kimya hivi hivi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mamelodi keshachuja. Makocha waliopo Mamelodi ni michosho, wakikutana na Yanga wanapokea kipigo heavy!Yanga miyeyusho mzee, hakuna wa kushindana naye hapa East, central, west and South Africa except mamelody pekee kule South Africa. Wapinzani wa Yanga kwa sasa wapo North Africa kwa baadhi ya timu tena chache hazifiki tatu.