Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio poa ndiyo maana wakurugenzi kila kukicha wanaagiza vyuma bila kuhofia Sgr
sgr kwa upande mwingine imeenda kuwaletea fursa maana kuna njia ambazo zilikuwa na hela kuliko hata kuja dar es salaam sasa hivi magari yameenza kwenda na kuwasombea watu dodoma, mtu akifika dodoma lazima achague kitu luxury khivyo mabasi classic yameendele kujaza ingawa kuna zile kampuni ambazo haziendani na muda ndo zinazidi kupotea au zile kampuni zinazotegemea masarange
 
Side walk za dar kwa yule youtuber wao zimewaumiza mno,sie tukiwaambia humu uwa wanaona tunawaletea ligi ila huu mrundikano wa youtubers wao wakiwa dar unawafunua akili,dar ni kubwa zaidi ya naikundu na dar inajengeka kila sehemu tofauti na naikundu
Ubongo wao unazibuliwa na ndugu zao.
 
bongo abiria wengi sana angalia wasafiri wa leo kwa mabus na treni
SHABIBY
View attachment 3102892
SGR TANZANIA
View attachment 3102897
ABC UPPER COACH
View attachment 3102905
Duh!! watu ni wengi mno wanaosafiri.
Nilihesabu siti za behewa moja na Economy ni 78 ukipiga hesabu kwa trip moja yapo mabehewa 14 mawili Business

78x12 + 58x2 = 1,052 kwahiyo kwa treni moja average watu 950 kwa kila trip.

Morogoro zipo trip 8 na dodom zipo trip 4 jumla ta trip 12.

950 x 12 = 11,400 kwa siku wanasafiri abiria average ya 11,400
 
jumla ni trip nane tu bosi, maana treni zinazoanzia morogoro ni mbili kwenda na mbili kurudi kwa hiyo treni 4 na dom treni 4. kwa dodoma TRC wanafanya uzembe kwa sababu muda waliouweka sio rafiki kwa watu wanaokaa mbali ya dodoma au wale ambao hawana uwezo wa kukodi bodaboda. kuna abiria wanaotoka chamwino,kiteto, karatu, singida wote hao wanalazimika kuunga tu na mabasi na wengine kwa malori. ilipaswa hizo treni za moro zote zingekuwa zinaunga mpaka dom lakini kunakuwa na mabehewa spesho ya watu wa moro, kwa sababu ukitoa weekend tren zote za moro zinaenda nusu empty
 
Side walk za dar kwa yule youtuber wao zimewaumiza mno,sie tukiwaambia humu uwa wanaona tunawaletea ligi ila huu mrundikano wa youtubers wao wakiwa dar unawafunua akili,dar ni kubwa zaidi ya naikundu na dar inajengeka kila sehemu tofauti na naikundu
Kwa sasa wanapita Wakenya wengi pale airport wanaelekea Dodoma nadhani wengi wao ni hao you tuber, hawa wakenya kwakweli nchi yao haina ajira, yn maelfu kwa maelfu wanakuja kutafuta content huku wapate pesa maskini ya Mungu.
 
Ubongo wao unazibuliwa na ndugu zao.
Jambo zuri sana maana sisi walikua awatuelewi,then kwenye huu uzi 99% ya wa TZ wameshafika kenya,tofauti na wakenya waliopo humu,wachache ambao walikua humu walipofika TZ huu uzi wameuacha,yule kaka yao lawmaina MK254 alipoanza kuona kazi za magufuli tu early 2018 akaukimbia huu uzi anapita kwa kuchungulia,wamebaki hao mandondocha ambao hata horohoro au namanga hawajawahi kufika
 
Kwa sasa wanapita Wakenya wengi pale airport wanaelekea Dodoma nadhani wengi wao ni hao you tuber, hawa wakenya kwakweli nchi yao haina ajira, yn maelfu kwa maelfu wanakuja kutafuta content huku wapate pesa maskini ya Mungu.
ukweli ni kuwa waliaminishwa kuwa wako mbele sana kuliko nchi yoyote east africa sasa wakija huku wanakutana na vitu tofauti kuanzia usafiri mpaka sehemu za kulala
 
jumla ni trip nane tu bosi, maana treni zinazoanzia morogoro ni mbili kwenda na mbili kurudi kwa hiyo treni 4 na dom treni 4. kwa dodoma TRC wanafanya uzembe kwa sababu muda waliouweka sio rafiki kwa watu wanaokaa mbali ya dodoma au wale ambao hawana uwezo wa kukodi bodaboda. kuna abiria wanaotoka chamwino,kiteto, karatu, singida wote hao wanalazimika kuunga tu na mabasi na wengine kwa malori. ilipaswa hizo treni za moro zote zingekuwa zinaunga mpaka dom lakini kunakuwa na mabehewa spesho ya watu wa moro, kwa sababu ukitoa weekend tren zote za moro zinaenda nusu empty
Nadhani tuwaache kwanza maana wanafanya analysis na hawataki kuua biashara zingine
 
Kwa sasa wanapita Wakenya wengi pale airport wanaelekea Dodoma nadhani wengi wao ni hao you tuber, hawa wakenya kwakweli nchi yao haina ajira, yn maelfu kwa maelfu wanakuja kutafuta content huku wapate pesa maskini ya Mungu.
na sisi tunawakaribisha kwa mikono miwili waambieni waje mpaka sonea na katavi tuwaoneshe jinsi tunavyowalisha
 
Bro nchi yetu itakapofikia kuwa nchi ya ahadi tutakua na shida sana na kunyan,wengi mno washaanza kujisogeza tena wanawake hadi kwa kufosi kuolewa
 
Nadhani tuwaache kwanza maana wanafanya analysis na hawataki kuua biashara zingine
mkuu hii ni low season unajua na hali ni hiyo, ukienda jion shabiby hupati siti. hizo ticket asilimia kubwa ni gari za jion kuna wanaotka vijijini huko au wale wasiopangilia safar ambao ni wengi kuliko, dodoma usafiri bado changamoto
 
Nadhani tuwaache kwanza maana wanafanya analysis na hawataki kuua biashara zingine
1726994163536.png

hii ni morogoro tu leo changamoto hakuna hata pakusimama
 
na sisi tunawakaribisha kwa mikono miwili waambieni waje mpaka sonea na katavi tuwaoneshe jinsi tunavyowalisha
Shida wengi wao wanataka kuanzisha maisha TZ,tuko milioni 61 mzee,hao kunyan wasipewe chance ya kuja kuwa wakazi wa TZ,serikali iliangalie sana hili isije kufanya mistake kama ya mzee wetu nyerere,wote tunajua sarungi na mungai wakiwa watanzania wenye asili ya kenya waliifanya nini elimu yetu walipokua mawaziri wa elimu wa TZ,kunyan si wa kuchanganyika nao,waulize wakenya wa pwani kule
 
Back
Top Bottom