Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bushman Zambia ilitufunga? Congo ilitufunga? Btw sisi tulishiriki, nyie mshahau na mwakani tunashiriki tena nyie hamuendi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Tanzania is the only country in the history of AFCON with no single win. So why participate if you can't win games?
 
The concept of money doesn't exist in their brains.๐Ÿคฃ
Mimi kitu wananishangaza nayo. Mtanzania akipost food ya 120 bob wanamsifu vile anakula maisha lakini mkenya akipost bill ya 10k, wanamkashifu ati ni mshamba na pia umaskini unamsumbua. So kati ya 120 bob na 10k nani maskini?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kazi ya kushinda JF masaa ishirini na nne kuandika utumbo "made in Kenya"๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
As long as Niko na pesa kukuliko I don't care how long I spend on JF. Na kama inakuuma jinyonge ama uambie Moderator anitoe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Again kwani kusema made in Kenya ni mbaya? Ama ni vile hakuna mnachotengeneza in Vumbistan?
 
Hii Mada hainihusu lakini kimsingi mwenye 18k post ni dhahiri anashinda humu,

Huyo bush boy amejiunga humu march 2021 na ana post 18k hii ni ndani ya miaka minne while mwenetu wa kibongo bwana Magonjwa Mtambuka amejiunga humu mwaka 2016 na ana post 30k, hiki ni kipindi cha miaka 8.

Kimsingi nduguyo Hana shughuli ya kufanya ni kuzurura tu humu JF then ikifika jioni afate matatu arejee kwene kibanda alichopanga akajifiche angoje kukuche. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wakenya wapo hovyo sana kwenye hesabu, no wonder wanafeli sn kwenye miradi, elimu yao ni kusomea masomo ya arts wawe wanasiasa waibe.
 
Kimsingi nduguyo Hana shughuli ya kufanya ni kuzurura tu humu JF then ikifika jioni afate matatu arejee kwene kibanda alichopanga akajifiche angoje kukuche. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ukijilinganisha na Mimi utakufa, wakati wewe umaskini inakumaliza Mimi nawachekesha hapa JF nilifanya investments. With a span of 4 days I have invested 60k. Najua wewe hata sparing 2k for investment huwezi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Screenshot_20240920-155330.png

As for matatu naipanda nikipenda, there's nothing good like having options. Wewe najua options zako ni miguu or mguu.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
IMG_0577.jpeg
 
Mimi kitu wananishangaza nayo. Manzania akipost food ya 120 bob wanamsifu vile anakula maisha lakini mkenya akipost bill ya 10k, wanamkashifu ati ni mshamba na pia umaskini unamsumbua. So kati ya 120 bob na 10k nani maskini?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wewe Bushman huwezi kupinga ufukara wako, juzi tu hapa nilikuwa nakutesa mpaka unaenda ku download mipesa Google na ku claim ni zako, na ulikuwa hupendi kabisa ubishani wa pesa kwa kusema huwezi ku expose maisha yako humu, leo unacheza vicoba unapata visenti vya kukodi bedsitter eti una hela, everyone knows you here hata ufanyeje tunakujua history yako, umri mkubwa ulikuwa bado shule, pesa unatoa wapi wewe ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Atasemaje ni spelling error wakat amerudia kuandika hvyo karibu mara tatu?๐Ÿคฃ
Huyu jamaa akishashiba chapoo na maharagwe huwa ana shida sana.๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mimi nilikosea kwenye utaratibu wa kuandika.
Ila sio kwamba sijui hapana ila hapa ni JF tunaandika hatupo katika chumba cha mtihani.
Ila jina nililipatia.
Yeye sasa anayedai anajua hadi naming of bio nomenclature ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
 
Wewe Bushman huwezi kupinga ufukara wako, juzi tu hapa nilikuwa nakutesa mpaka unaenda ku download mipesa Google na ku claim ni zako, na ulikuwa hupendi kabisa ubishani wa pesa kwa kusema huwezi ku expose maisha yako humu, leo unacheza vicoba unapata visenti vya kukodi bedsitter eti una hela, everyone knows you here hata ufanyeje tunakujua history yako, umri mkubwa ulikuwa bado shule, pesa unatoa wapi wewe ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Watchman whatever Iโ€™m spending in a day huezifikia. Pesa yote unapata kwa mwezi canโ€™t manage my weekly expenditures ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Today I fueled 10k๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚

IMG_0581.jpeg
 
Hii Mada hainihusu lakini kimsingi mwenye 18k post ni dhahiri anashinda humu,

Huyo bush boy amejiunga humu march 2021 na ana post 18k hii ni ndani ya miaka minne while mwenetu wa kibongo bwana Magonjwa Mtambuka amejiunga humu mwaka 2016 na ana post 30k, hiki ni kipindi cha miaka 8.

Kimsingi nduguyo Hana shughuli ya kufanya ni kuzurura tu humu JF then ikifika jioni afate matatu arejee kwene kibanda alichopanga akajifiche angoje kukuche. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hafanyi kazi ya kubeba mizigo kama wewe. Hawezi kosa dakika mbili za kujibu fala akimquote. Kumbuke mpo wengi humu na Mkenya akiandika kitu mnamquote kama watu kumi.
 
Mimi kitu wananishangaza nayo. Manzania akipost food ya 120 bob wanamsifu vile anakula maisha lakini mkenya akipost bill ya 10k, wanamkashifu ati ni mshamba na pia umaskini unamsumbua. So kati ya 120 bob na 10k nani maskini?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Umenikumbusha Smocha. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Yeye sasa anayedai anajua hadi naming of bio nomenclature ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Bio nomenclature ndio nini? Wewe hakuna unachojua. Just go back to biology class๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

The word is Binomenclature which means two names. Bi (two) nomenclature (names). Wewe utabaki kuwa Quack๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom