Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Niliweka 10k asubuhi nikienda Embu, that’s a distance of 267km to and fro, na saa hii nimekwama kwa jam which also consumes fuel.Umesema umeweka 10k na baadae utaweka tena mafuta. Sasa najiuliza kwani unafanya Uber? I am just curious nothing personal.