Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You know the city you know the vibe.
New Affordable apartment on sale
Wakenya wachafu sana aisee, apartment mpya lkn imejaa mifuko ya mavi 👇👇
Screenshot_20240920-142651~2.png
 
Si ulizema that Plate number ni for Transit kwenda nchi jirani au sio wewe?
It is for transit from the port (or assembly (to any destination before the owner gets the official plate. You either get those plates or you put in on a car carrier. If you want to drive your unregistered car on Kenyan roads, it must have those temporary plates irrespective of the destination.
 
Kati ya mwenye 30k posts na 18k posts ni nani anayeshinda humu? Hunanga akili.

View attachment 3101074View attachment 3101075
Hii Mada hainihusu lakini kimsingi mwenye 18k post ni dhahiri anashinda humu,

Huyo bush boy amejiunga humu march 2021 na ana post 18k hii ni ndani ya miaka minne while mwenetu wa kibongo bwana Magonjwa Mtambuka amejiunga humu mwaka 2016 na ana post 30k, hiki ni kipindi cha miaka 8.

Kimsingi nduguyo Hana shughuli ya kufanya ni kuzurura tu humu JF then ikifika jioni afate matatu arejee kwene kibanda alichopanga akajifiche angoje kukuche. 😂😂😂
 
*Kuhusu naming najua vizuri tu ndio maana nikafanya mtihani nikafaulu.
Ila sikutaka kubishana kwasababu kwangu ni trivial issue.
Kikubwa niliandika jina kiusahihi.

WEWE MSENGE UNAYENIAMBIA SIJUI KUHUSU MICROBIOLOGY WALA MEDICAL IMPORTANCE ZAKE NILIKUULIZA HAYA MASWALI JE ULIJIBU?
*SPORE MOJA KWA MOJA IPO KATIKA STAGE YA KUENEZA MAGONJWA??
*MEDICATED SOAP ZINA INGREDIENTS ZIPI ZA KUUA VIJIDUDU?
*WHAT IS SANITIZATION??
*NI KEMIKALI ZIPI ZINAWEZA KUMUUA CLOSTRIDIUM DIFFICILE??

JE ULIJIBU HAYA MASWALI??
NIKAKWAMBIA HYPOCHLORITE INAUA CLOSTRIDIUM DIFFICILE NA HIYO IPO KATIKA DETTOL.
HUJUI UKAWA UNABUNG'AA TU.

AYA NATAKA UNIJIBU HAYO MASWALI HAPO JUU.
UKIJIBU AM LOGGING OUT OF JF FOR GOOD.
Difficile yenyewe hujui UNAANDIKA DIFFICLE.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nataka majibu ya hayo maswali uliyoshindwa kujibu kule nyuma.
Atasemaje ni spelling error wakat amerudia kuandika hvyo karibu mara tatu?🤣
 
Back
Top Bottom