Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umenikumbusha Smocha. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
I think hawa watu wako tu kwa denial๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ.

There was a time walikuwa wanapost hadi wakikula mihogo lakini tangu nianze kupost bills za 2K and above waliacha kupost those cheap food za vibanda๐Ÿ˜‚
 
Kwani unafanya Uber? ๐Ÿ˜
Najua you are not used to such expenditures. Yani mtu akifuel 10k ni kumaanisha anafanya Uber? Hii mambo ya kujaza tank is a new vocabulary to you?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Bio nomenclature ndio nini? Wewe hakuna unachojua. Just go back to biology class๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

The word is Binomenclature which means two names. Bi (two) nomenclature (names). Wewe utabaki kuwa Quack๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
As long as ulishindwa kujibu maswali yangu huna haki ya kuniita quack.
Jibu hayo maswali nilokuuliza kule juu then nitakubali hilo jina unaloniita.
Laa sivyo endelea na yako mr.dificle.
 
Watchman whatever Iโ€™m spending in a day huezifikia. Pesa yote unapata kwa mwezi canโ€™t manage my weekly expenditures ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Today I fueled 10k, asubuhi na narudi kufuel tena๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚

View attachment 3101136
Tanzania sasa hivi tunabadili gari katika mfumo wa compressed natural gas.Mafuta tunapunguza matumizi yake siku hadi siku.
 
As long as ulishindwa kujibu maswali yangu huna haki ya kuniita quack.
Jibu hayo maswali nilokuuliza kule juu then nitakubali hilo jina unaloniita.
Laa sivyo endelea na yako mr.dificle.
You are Quack. Kama Binomenclature ndio hujui kuandika, what do you know?

Hata mtoto wa Form One can write binomenclature properly kukuliko๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
I think hawa watu wako tu kwa denial๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ.

There was a time walikuwa wanapost hadi wakikula mihogo lakini tangu nianze kupost bills za 2K and above waliacha kupost those cheap food za vibanda๐Ÿ˜‚
Kila siku walikuwa wanapost vipicha vyao humu wakidhani kila Mkenya anaishi Kibera. Tangu wakenya tuanze kupost huwaoni wakipost kitu.
 
You are Quack. Kama Binomenclature ndio hujui kuandika, what do you know?

Hata mtoto wa Form One can write binomenclature properly kukuliko๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Jibu maswali yangu mr.dificle.
Usikimbilie makosa ya typing error.
Rudi juu kajibu maswali yangu.
 
Tanzania sasa hivi tunabadili gari katika mfumo wa condensed natural gas.Mafuta tunapunguza matumizi yake siku hadi siku.
Nobody is talking about type of fuel here. The issue is, can you spend that much in a day? Remember unalipwa mshahara wa 20k kwa mwezi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Nobody is talking about type of fuel here. The issue is can you spend that much in a day? Remember unalipwa mshahara wa 20k kwa mwezi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Maisha ni bei rahisi Tanzania.
Naweza kupata huduma sawia na zako kwa bei nafuu.
Pia mimi nina mke na familia huishi kibajeti sio kitoto ama kivulana kama wewe.
 
Kila siku walikuwa wanapost vipicha vyao humu wakidhani kila Mkenya anaishi Kibera. Tangu wakenya tuanze kupost huwaoni wakipost kitu.
Nakumbuka pia mambo ya Academic Certificates, walikuwa wamekazana kuuliza lakini vile wakenya walianza kuzipost walipotea wote๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ.

I donโ€™t remember any Tanzanian posting his/her academic certificates here๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Maisha ni bei rahisi Tanzania.
Naweza kupata huduma sawia na zako kwa bei nafuu.
Pia mimi nina mke na familia huishi kibajeti sio kitoto ama kivulana kama wewe.
20k ndio kitu unaongelea ama? You are a low budget Quack๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Umesema umeweka 10k na baadae utaweka tena mafuta. Sasa najiuliza kwani unafanya Uber? I am just curious nothing personal.
Huyu jamaa mshamba sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Anadhani utumiaji wa gharama kubwa ndio utajiri.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Maswali gani? Ya kutojua kuandika Binomenclature?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hiyo typing error wewe endelea kushikilia mr.dificle.
*Ulinijibu what is sanitization?
*Ulinijibu kama je spores wako katika readiness of medical importance!?
*Je ulinijibu kama medicated soap as a tool of sanitization ina ingredients zipi!??

Je ulinijibu haya??
 
Back
Top Bottom