buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
Kwa hiyo umekimbilia Kiingereza?Ni Kiingereza huelewi ama ni ujinga unejaza kwa kichwa?
Nini sababu ya kuleta Irzar kwa watengeneza vichwa vya malori kuwa buses?
Kwa hiyo umekimbilia Kiingereza?Ni Kiingereza huelewi ama ni ujinga unejaza kwa kichwa?
I see hakuna vumbi hapoVumbistan haina estate roads. Zote ni vumbi Hadi kwa mitaa ya Kifahari. Nairobi mitaa yote ina lami at least 50% na Kuna mitaa mingine mingi lami ni 100%. Ndio maana tunawaita Vumbistan.
Sheria kali mbona zinadumu.Watu hawawezi kuhudumia Chinese buses wataweza hizo bus za mzungu? Wanataka kupiga hela za walipa kodi tu.
Maana unavyojibu ni kama hujaelewanninachosema yet Kiko straight forward. Ni dhahiri lugha niliyotumia inakupa changamoto.Kwa hiyo umekimbilia Kiingereza?
Nini sababu ya kuleta Irzar kwa watengeneza vichwa vya malori kuwa buses?
I see hakuna vumbi hapo
View: https://x.com/Ice_Queeeen/status/1836492399335608584?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1836492399335608584%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
Mpaka wenu naona kuna Lami safi no Vumbi.
View attachment 3100357
Amka kijana.
We naye kwenda zako bhn more than 95% ya Kenya ni vumbi kushoto kulia.Nimesema mitaa ya Kenya iliyo na lami kidogo ni 50% na hiyo ni mitaa ya hadhi ya chini kama hii githurai. Meanwhile hapo Vumbistan utapata Mbezi panapokaa matajiri ni vumbi tupu 80%. Nairobi utapataje vumbi kwa mitaa kama Kitusuru? Hiyo ndio tofauti.
Hayo majina yote yao , ndio maana hata wao wanayapenda wanatumia. hata mwenyekiti ichoboy01 anaweza thibitisha 😂Hilo jina lilikuwa lao, tulikuwa tunaiita vumbistan baadaye NDINDA akawabatiza kundustan na wao ndiyo wakaiga jina la vumbistan lkn ni lakwao kutokana na Nairobi kujaa vumbi everywhere.
I see hakuna vumbi hapo
View: https://x.com/Ice_Queeeen/status/1836492399335608584?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1836492399335608584%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
Mpaka wenu naona kuna Lami safi no Vumbi.
View attachment 3100357
Amka kijana.
Maneno mengi uhalisia tofauti amkaHivi hapo huoni lami? Usilazimishe vitu bradhee.😂😂
Halafu nimesema mitaa ya Kenya iliyo na lami kidogo ni 50% na hiyo ni mitaa ya hadhi ya chini kama hii githurai. Meanwhile hapo Vumbistan utapata Mbezi panapokaa matajiri ni vumbi tupu 80%. Nairobi utapataje vumbi kwa mitaa kama Kitusuru? Hiyo ndio tofauti.
Nieleweshe basi kwa kiluo au kikuyuMaana unavyojibu ni kama hujaelewanninachosema yet Kiko straight forward. Ni dhahiri lugha niliyotumia inakupa changamoto.