Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwikwi yaan unatia huruma yaan unajitahid tukuone classic kumbe hakuna. ebu scan menu ya ray spot tukuone
Huko nilishatoka kitambo. Ebu angalia time ya hiyo payment, ama hujui payment kwa hoteli hufanywa kama mtu anatoka?😂😂

Hiyo 10k najua na budget yako ya Meals for 3 months.
 
Sasa unauliza mwenye anaenda village market almost weekly kama ashaiskia Village Market, are you okay upstairs?😂😂
ndo maana tunakuambia wewe huzijui starehe umeanza kuziona starehe juzi muulize babako miaka ya 2000 kiwanja kilichokuwa kinabamba kutoka familia kilikuwa wapi. halafu ujiulize toka miaka hiyo watu tunakula starehe. mtu mshamba kama wewe ukienda kwa mitoko unataka upige picha ili ukawaoshee washamba wenzako. huwez kuta mtu ambaye amezoe sehem classic kama nilizokuwekea hapo juu akijipiga picha kwa sababu ndo style yake ya maisha. kunguni
 
Yani Ksh 10k ndio imekukasirisha hivo?😂😂
 
Huko nilishatoka kitambo. Ebu angalia time ya hiyo payment, ama hujui payment kwa hoteli hufanywa kama mtu anatoka?😂😂

Hiyo 10k najua na budget yako ya Meals for 3 months.
huna uwezo wa kulipa hiyo hela na kama ulilipa, lazima ulipewa receipt ambayo wewe huna, more than hiyo restaurant hawana menu ya kufikisha hata 3000 kama unanibisha weka menu yake hapa. hicho ni kinormal restaurant pili ungekuwa umelipa lazima receipt ingekuwa na barcode, hiyo receipt yako haina barcode kuweza kuprove kuwa umefanya malipo. halafu sijawahi kuona risit isiyokuwa na risit namb. rudi shuleni kajifunze kudanganya
 
1726593449323.png

na hii ni kenya ?
 
Naona Tony254 amerudi baada ya uchaguzi kumpiga na kitu kizito, karibu aisee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
View attachment 3098849

Baada ya husla kumpatia Baba nusu mkatee ndio jaluo Tony kajitokeza jukwaani tena.

Hahaha... Kabla ya Feb tuta endorse mtu mwingine for chairman position badala ya Babaa... 📌📌
 
huna uwezo wa kulipa hiyo hela na kama ulilipa, lazima ulipewa receipt ambayo wewe huna, more than hiyo restaurant hawana menu ya kufikisha hata 3000 kama unanibisha weka menu yake hapa. hicho ni kinormal restaurant pili ungekuwa umelipa lazima receipt ingekuwa na barcode, hiyo receipt yako haina barcode kuweza kuprove kuwa umefanya malipo. halafu sijawahi kuona risit isiyokuwa na risit namb. rudi shuleni kajifunze kudanganya
Bado unaumizwa tu?😂😂😂

Hiyo ni M-Pesa Statement na sio risiti ya hoteli😂😂. Mbona wewe ni mjinga hivo?😂😂😂
 
Sama boy 255 aka baboon and The best 007 aka Watchman. Tokeni nje, I know you have never been to good hotels like these. That’s why mlikuwa kwa denial vile niliwaambia i have been to 5* Hotels several times😂😂🤣.

Today I was here👇👇👇, RAY SPOT Restaurant & Bar.

View attachment 3098913
View attachment 3098916
We mkulima ni mshamba sn aisee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Bado unaumizwa tu?😂😂😂

Hiyo ni M-Pesa Statement na sio risiti ya hoteli😂😂. Mbona wewe ni mjinga hivo?😂😂😂
nani aumizwe wewe leta evidence kuwa umelipa kwa risit ambayo ni valid, au hujui electronic receipt zote lazima ziwe na namba na kwa genuine restaurant lazima ziwe na barcode
 
Back
Top Bottom