Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1726570872020.png

bado tutaendelea kuwanyosha tu
 
Unaweza kuta hapo alipo hajanunua Starlink na hana uwezo wa kununua.
Na ikitokea amenunua ujue kuna shughuli zingine zitakuwa postponed maana uchumi binafsi hauruhusu kufanya vitu vingi kwa pamoja. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwa hivyo wale wamenunua tu ndio wanafaa kuiongelea. You are very petty.
 
Ju haiko bongoslum ni kejeli. Enda uskie vibaya na huko.
sasa sisi tuumie kuikosa kwani umeambiwa tunaitaka ? nyinyi huwa tunawaacha mnajifaragua halafu tunakuja kuwapiga knockout za maaana. rejerea tulicowafanya hoima, sgr, tunavoenda wapiga ngumi za chini kwenye bandari ya tanga baada ya kushusha wharfage kwa mzigo wa uganda tuone mtakavyohangaika
 
Back
Top Bottom