buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,119
Kazi yao kujifariji, ukimuuzia mtu kitu atataka amaximize profit na asikupe mwaya wa kumpunguzia pesa.haha wanajua basi kinachoendelea TPA bado anaendesha bandari ya Mtwara na Tanga ambako kuna mzigo wa kufa mtu wa makaa ya mawe na korosho. hata ingekuwaje bado mzigo TPA inaongiza sio wa kitoto.
mfano tu mikindani tozo tu za magari ya makaa ya mawe yayoingia bandarini kushusha mizigo kwa siku si chini ya mil 10 huku kila gari ni 30000 kwa trip tu
Kama Airport yao wanavyofanyiwa.