Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1726499465067.png

wanajisifia kuwa wanaweza ila nauli tu ya ksh 1500 wanashindwa jaza halafu wanataka kushindana na watu ambao starehe za kistaarabu tunaziweza
 
board imeandikwa kichina jibu swali owner ni nani 😂😂😂😂😂 usione vibaya
Owner ni government of Kenya. Chini ya hizi Chinese words kuna English words as well and kuna place imeandikwa proprietor. I want you to read it loud😂😂🤣😂👇👇👇

1726500687746.png
 
Tuoneshe budget mlitenga lini na wapi?
Uonyeshwe kama nani? The same way the government has decided to keep the cost of Talanta a secret is the same ya Kasarani pia ni Secret. Na kama ni ya Mchina Ebu tuambie mchina amewekeza pesa ngapi hapo😂😂🤣😂
 
Back
Top Bottom