Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We punga ziko skating shoes za aina nyingi hizo zako ni for roller skating kiswahili Chake ni viatu vya matairi.
Skating shoes is the common name. Hizo zingine are like smaller rooms within a house.
 
Hawa watanzania ni watu wajinga sana. Wamezoea daladala zao za 5 bob hadi wakiskia mtu analipa nganya fare ya 100 to move a distance of 12 km wanashangaa😂😂🤣😂
Alafu hawajui Nairobi kuna nauli ya rush hour na nauli ya kawaida. Na anajifanya anaijua Nairobi. 😂😂
 
ukweli ni kuwa mmecncetrate sehem moja wakati tanzania inaijenga nchi nzima huo ndo utofauti
Kenya tuna flyover nchi nzima hadi vijijini, Vumbistan flysover zipo Dar pekee. Sasa nani ameconcentrate sehemu moja? 🤣 🤣 🤣

Njoro Interchange
237566816_1433339640398772_528901841257583557_n.jpg
 
ona hii kongoro umeambiwa leta nauli ya van ambayo ndo kama public transport kwenu umeenda kuleta garri mnaenda zitumia kwenye part. kwahiyo hizi hapa sio private
View attachment 3097571
halafu ukija kwenye issue ya transport inakuwaje nairobi iwe inatumia chai maharage kama mode of transport
Sasa hizi ndio fare za manyanga? You are an idiot 😂
 
Sasa hizi ndio fare za manyanga? You are an idiot 😂
angalia watu waliojipanga sio kwamba hakuna hizo za luxury kama mnavozipromote manyanga zenu kama vile ndo main mode of transport within nairobi
 
Back
Top Bottom