Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

leta [proof kuwa unalipa 100 kwa trip ya less than 12 km
Acha kupinga kila kitu malaya hii😂😂🤣👇👇

1726494387898.png
 
umesema sio football stadium ila ni multipurpose ukiwemo na mpira leta vigezo vya football stadium kuwa approved by FIFA
Mkuu unabishana na huyo kiazi!??
😂😂😂😂Swali ulilomuuliza kamwe hatokuja akujibu.
Kuna kitu kinaitwa multipurpose stadium hapa duniani!??
😂😂😂😂😂😂
 
Tuliza papara.
Tangu lining Van ikawa nganya? Tukisema nganya tunaongelea hizi👇👇👇


View: https://x.com/K24Tv/status/1829093466376458527


View: https://youtu.be/88zv8e0UJeM?si=naEXOXUxalcc700g
leta nauli ya hii chai maharage. kitu amnacho haujui haya magari ambayo nyinyi mnaona ndo mmefika tumeachana nayo miaka ya 1990, huwez mpandisha mbongo gari yenye mastika hata kama hana hela hapandi bora atembee
 
the last time nilikuambia matusi hutaniweza ukitaka twende kwa matusi utakimbia. leta poof in writing sio hiyo ambayo hata mimi naweza itengeneza leta video watu wakitozwa 100 sio hiyo unayoizungumzia.
Utangoja sana. Kwa matusi sio wewe wa kwanza kunitisha, utakuja alafu mwishowe utalilia mods wanipige ban after after nimekupea za uso.😂😂🤣😂
 
Utangoja sana. Kwa matusi sio wewe wa kwanza kunitisha, utakuja alafu mwishowe utalilia mods wanipige ban after after nimekupea za uso.😂😂🤣😂
tatizo lako ni njaa wala hutubabaishi haya vipi leta evidence ya wewe kulipa 100ksh kwenye hizo van zenu
 
tatizo lako ni njaa wala hutubabaishi haya vipi leta evidence ya wewe kulipa 100ksh kwenye hizo van zenu
Hata hiyo evidence bado utapinga juu zinaezalipwa na cash and MPESA. MPESA inatoa jina ya mwenye gari of which utapinga bado😂😂🤣
 
Hata hiyo evidence bado utapinga juu zinaezalipwa na cash and MPESA. MPESA inatoa jina ya mwenye gari of which utapinga bado😂😂🤣
mngekuwa organised lazima leta link ya kwamba mimi naweza nikaccess nikaona nauli iliyopo kwenye mfumo kama mimi hapa naweza kukuletea nauli ya usafiri bongo bila kuhangailka, proof ukisema eti hela uliyolipa na mimi nina hela nalipaga kutoka posta kwenda mwenge kwa coaster tsh 5000 ila sio nauli ambayo ndo iko kwenye mfumo ila kwa raha zangu kwa sababu sitaki usumbufu naamua kulipa, sasa wewe tuletee nauli ya van ambazo ndo nyingi zinatumika kusafirisha majority
 
Huna baiskeli, baby class maybe you owned a drawn bicycle. And for your information the shoes are known as skating shoes sio viatu vya matairi, you are mshamba pro max spiced with umaskini ndani yake.

Anyway back to bicycle, kama uko na baiskeli Ebu tuonyeshe. Usipoenyeshe utakuwa umeprove point yangu that you are too poor that you can’t even afford a bicycle.
We punga ziko skating shoes za aina nyingi hizo zako ni for roller skating kiswahili Chake ni viatu vya matairi.
 
Back
Top Bottom