Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 3097756
haya wale wauzaji wa mabasi kutoka kenya. 2022 waliuza gari zenye dhamani ya 103,000usd kwa tanzania halafu wakaagiza mabasi yenye dhamani 19.9mil usd toka nje.
yaan hata dhamani ya scania moja haikufika duu
Kila siku unakuanga fala😂😂🤣👇👇

Kenya exported a total of 142 buses with Uganda our biggest market.

1726508393996.png
 
Shida ipo pale unaponiquote alafu unaweka mada tofauti. Kama unaniquote ni vyema ubaki kwenye mada. Na kama unataka kupost vitu zako tofauti haina haja ya kuniquote.
inawauma sasa hapa si tunapost kuonesha nani mwamba kwenye miradi au ? kwahiyo tukipost ourbests inawauma au kwani sio wewe uliyepost talanta iweje sasa hivi ubadilike eti mada ilikuwa ni barabra? ungetaka mada iwe ni barabara tu ungeachana na talanta sawa dogo
 
Kila siku unakuanga fala😂😂🤣👇👇

Kenya exported a total of 142 buses with Uganda our biggest market.

View attachment 3097768
haha kumbe ile ilikuwa mwaka 2022 wewe ya umeleta 2023 sawa haina shida. kwahiyo kwa mwaka mzima mkauza buses tano tu ambazo kwa hiyo value ya 129,004usd wakati kuna BM tu kaingiza zaid ya units 20 kwa huo mwaka tu zenye value 148,000 usd per unit
 
Acha uongo Chinese buses kama hizo takataka zinakuja Tanzania are $68,000😂😂🤣😂
 
Kundudwellers wanajitutumua. Hawaamini kuwa nchi yao imeshakufa.

Nendeni mkasome kitabu kinachoitwa: Who Moved My Cheese?
Kuna characters wanafanana na wakenya
 
Back
Top Bottom