Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Kenyan architecture, sio kama vitenge edition za Vumbistan.
View: https://x.com/SabrimaHomes/status/1835643581698089197
Kasarani the site, wameapprove site au stadium???¿¿¿Kasarani is approved by FIFA. Benjamin Makwapa is not a football stadium.
View: https://youtu.be/zb_ioNcDfDc?si=vP9DFqIQAY329t9S
1.4km sgr flyover tayari washamaliza huku wanamalizia terminal mind you huu mradi ni 10bil usd building more than 1000km while your is in stagnation for almost a decade
Asante kwa render😂😂🤣😂
Hii inausikanaje na mjadala tuliokuwa nao? Ama ni uchungu uko nao.😂View attachment 3097735
kwahiyo hii barabara
nyinyi humu kila siku mnaleta picha za majengo na mimi nikawauliza kuwa hakuna miradi mingine ambayo iko inaendelea, hamkujibu na mjadala uliokuwepo ni wakuleta nauli pendekezwa ya public tranport zilizopo nairobi mkaleta picha.Hii inausikanaje na mjadala tuliokuwa nao? Ama ni uchungu uko nao.😂
Shida yako unataka tupost unachotaka wakati sisi tunapost tunachotaka. Wewe endelea kupost esigiiara Wacha sisi tupost Talanta, sawa? 😉😎👊🏾nyinyi humu kila siku mnaleta picha za majengo na mimi nikawauliza kuwa hakuna miradi mingine ambayo iko inaendelea, hamkujibu na mjadala uliokuwepo ni wakuleta nauli pendekezwa ya public tranport zilizopo nairobi mkaleta picha.
tumeomba link ya nauli zenu tuweze kuprove hamjaleta ila mmekimbilia kuleta picha za talanta.
kwa hivyo nyinyi mmeshindwa kujustify nauli zenu, pia siku zote huwa ,mnajifanya kudivert mijadala, nyinyi si barabara then sisi tuna ujenzi wa mambo kadha wa kadha. ACHENI KUDIVERT MADA
Sasa ubaya uko wapi post talanta ntapost sgr, sasa shida niniShida yako unataka tupost unachotaka wakati sisi tunapost tunachotaka. Wewe endelea kupost esigiiara Wacha sisi tupost Talanta, sawa? 😉😎👊🏾
Shida ipo pale unaponiquote alafu unaweka mada tofauti. Kama unaniquote ni vyema ubaki kwenye mada. Na kama unataka kupost vitu zako tofauti haina haja ya kuniquote.Sasa ubaya uko wapi post talanta ntapost sgr, sasa shida nini