Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ziko cranes 4 as of now. A total of 8 cranes will be used. Hile yao ya Arusha naskia imekwama tenaπŸ˜‚πŸ˜‚
ya arusha inawaumiza sana vichwa πŸ˜‚πŸ˜‚

tofaitosha talanta na arusha, talanta ni mali ya mchina na ataimiliki yeye mwenyewe lakini arusha ni mali ya serekali na inajengwa na serekali

natumai sijakukera na ukweli😁😁
 
Kitu ya 30,000 seats iniumize kichwa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

Ukileta evidence Talanta ni Mali ya mchina nahama JF for goodπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
The view while landing in Arusha. πŸ‘‡πŸΎ
IMG_1482.jpeg
IMG_1483.jpeg
IMG_1484.jpeg
IMG_1485.jpeg
Chuga ni ya moto mno.
 
Sasa stadium ya 30,000 inaezafanya mtu alie? Saa hii utensil umesimama juu contractor bado hajapewa pesa bado.

Na ujue opening and Closing games ni Talanta Stadium, hiyo ya Arusha maybe itakuwa tu training ground for some teams.
Naona umeendelea kuonyesha maumivuπŸ˜‚πŸ˜‚ cry harder.
 
Back
Top Bottom