Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baboon najua unaumia because there is no tall building coming up in Vumbistan.

Chukua Altura Tower, 33 floors. Kando yake in Green net is Habitat Tower.


Image


Image
What does a tall building has to do with my well-being?
Bure kabisa nyie.
 
Umenikumbusha mbali sana maake tulifika mahala tunaambiwa unanijua mimi ni nani na JPM akasema mulize unanijua mimi nasitaki kukujua R I P
JPM
Hatari, ila Alipoingia hakuna kitu walikua wanaogopa kama kujifanya "UNTOUCHABLE" walikua wanatamani kuwa wanyonge kabisa.

Imagine kuna company ilimzungusha mbongo malipo ilikua ya kigeni, akachoka akaamua wamalizane Mahakamani, wee siku hiyo hiyo walimaliza kila kitu, back then mzee alikua anataka ujichanganye unakula uhujumu uchumi billion zinakutoka.
 
Kwahiyo wanawafukuza Wananchi wasifanye biashara kwa maslahi ya Taifa halafu wanaleta Mwendokasi ili ifanye biashara kwa maslahi ya Mwarabu!? Magufuli alikosea sana kumuweka Yule Bi’Kidude kuwa Vice wake…………alikosea sana

2025 nitampigia Mpinzani kwa nguvu yoyote ile na 23 September nitakuwa kwenye maandamano

SAMIA MUST GO
Sio yeye, alishasema wazi VC alimtaka Mwinyi.
 
Back
Top Bottom