Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Maybe uliendesha ndotoni😂😂🤣😂Tumeshaendesha kwenye motorways kubwa sana duniani itakuwa hapo na pia nimeshaendesha hapo wala hakuna feeling yoyote tofauti na highway ya kawaida foleni kama Kawa na exit za city centre ziko jammed it defeats the whole meaning ya hiyo barabara.