The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hawezi kushinda hata kwa makofi, top five tu hawezi ingia. Kenya haijulikani Africa, Samia aliwaongopea tunawaunga mkono kumbe si kweli 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Huyu muzee asipoangalia ataangukia pua na kampeni inakula pesa nyingi za wafuja jasho wa madeni 🤣🤣