Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Good afternoon baboonman๐๐พ๐๐พ๐๐พIla wewe ni zuzu sana nikipitia hii draft naona kitu mnauza sana bongo ni sabuni ๐๐๐๐๐ sasa sabuni ni kitu ya kuwa pround .?
Good afternoon baboonman๐๐พ๐๐พ๐๐พIla wewe ni zuzu sana nikipitia hii draft naona kitu mnauza sana bongo ni sabuni ๐๐๐๐๐ sasa sabuni ni kitu ya kuwa pround .?
haha azam aliwahi wapelea moto wa ngano wakaanza andamana na ndo maana unaona products nyingi hazitoki bongo kwa sababu ya protectionismIla wewe ni zuzu sana nikipitia hii draft naona kitu mnauza sana bongo ni sabuni ๐๐๐๐๐ sasa sabuni ni kitu ya kuwa pround .?
So many. Just an example๐๐๐คฃkwa mwaka 2023/2024 mmeuza buses ngap tanzania?
See what Kenya is selling to Tanzania, even trucks, tractors, buses and cars we are selling to you. Not forgetting Toilet papers๐๐๐คฃ๐คฃ๐๐
View attachment 3094869
ukileta kama hizo 10 kwa 2023/2024 najinyonga na uelewa mwaka wa fedha 2023/2024 umeishia 30/06/2024
Six more coming your way๐๐๐คฃukileta kama hizo 10 kwa 2023/2024 najinyonga na uelewa mwaka wa fedha 2023/2024 umeishia 30/06/2024
Naomba end product ya coal tafadhali ๐๐๐Between raw materials and end product hitch is costly?๐๐๐คฃ.
You have the natural resources but you brain is thick that you canโt think of processing it to sell the end product to Kenya, no wonder we usually have surplus against Tanzania ๐๐
Naelewa vizuri tu kama hawa jamaa bila protectionism policy they are nothing to us. Wakiruhusu bidhaa za bongo ziingie ipasavyo, biashara yao ya ndani yote inakufa.haha azam aliwahi wapelea moto wa ngano wakaanza andamana na ndo maana unaona products nyingi hazitoki bongo kwa sababu ya protectionism
Ulikua Arusha mwaka gani wewe.? ๐๐๐
Umeamua kuomba msaada Addis ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hii ni business Park sio bus terminalaliyeuunda kitu hiki kwa kweri hata kama ni designer hapa hajafanya ubunifu wowote, hii inafanana na shule tu
Passengers wanakaa wapi hapo na bus slots ziko wapi au unafikiri sisi hatujui how a bus park looks like?Ni bus park. Ama ulitaka iwe nini?๐๐๐คฃ๐
kwa hiyo hapa ni kenya?
Tumeshaendesha kwenye motorways kubwa sana duniani itakuwa hapo na pia nimeshaendesha hapo wala hakuna feeling yoyote tofauti na highway ya kawaida foleni kama Kawa na exit za city centre ziko jammed it defeats the whole meaning ya hiyo barabara.Tanzanians have no experience in driving in a freeway, they should come to Kenya and enjoy Thika Superhighway and Nairobi expressway.
View attachment 3094771