Nyinyi kitu mnauzia Kenya ni raw materials pekee. Kenya on the other hand is selling to you end pr
See what Kenya is selling to Tanzania, even trucks, tractors, buses and cars we are selling to you. Not forgetting Toilet papers😂😂🤣🤣👇👇
View attachment 3094869
haha yaani sijawahi ona tractor ikitoka kenya kuja tanzania ila nachojua kuna kampuni ambayo ina uwakala wa case tu tena wanaimport direct kupitia dar na bado haiperfom vizuri , labda toilet paper tu ambazo kwetu hazina oko sana hata hivyo godwill anatengeza kupitia kampuni yake ya kiss kids. cement mnadanganywa hakuna siment inayotoka tanzania kwa sasa maan akuna viwanda lukuki na kuna watu wanafunga safari toka rwanda kuja mtwara almost km 2000 kufuata cement si wangekuja nairobi. sukari bado mahitaji ni mengi population kubwa,