Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That’s the truth, wewe huwa huelewi mada. Kazi yako ni kurukia tu mambo kwa mbele😂
Umedai tunanunua magari kutoka kwenu,nimekuuliza toka lini tunanunua kutoka kwenu.
Mbona kitu simple!!?
Ni mimi ama wewe huelewi??
 
Alafu Kuna kunguru atakuambia ati watu wanapanga lines for 5hrs waiting to board a matatu.


This is night picture nimechukua saa hii, matatu are so many at the see stage hadi they are the ones waiting for passengers to come and fill them.
View attachment 3093522

Kama ndege vile humuoni Dereva

1000160248.jpg
 
Kubababake munakimbilia daladala nikama munapiga mwizi. 🤣🤣🤣 Maisha ya shida hii.

View: https://x.com/Tupaclifee/status/1833183405858586969

Hizi ni changamoto ndogondogo zitatatuliwa, hiyo ni kutokana na ujenzi mkubwa wa BRT unaoendelea, naijua hii bus stage, hakunaga shida ya usafiri, kwanza nilitegemea utapongeza the way we have such infrastructure but as a kunyan sina shida na wewe najua ni wivu, FYI hapo kuna ujenzi wa BRT road that's why kuna uhaba wa mabasi because of huge traffic.
 
Hizi ni changamoto ndogondogo zitatatuliwa, hiyo ni kutokana na ujenzi mkubwa wa BRT unaoendelea, naijua hii bus stage, hakunaga shida ya usafiri, kwanza nilitegemea utapongeza the way we have such infrastructure but as a kunyan sina shida na wewe najua ni wivu, FYI hapo kuna ujenzi wa BRT that's why kuna uhaba wa mabasi because of huge traffic.
Hongera kwa bus station, lakini kwa commuter rail hua tumewapiga mwosho mmoja. Ona sasa Dar is a slum commuter rail.🤣🤣🤣
Image
 
Kwa mwaka mzima zimenunuliwa gari mbili tu. Sasa ndo wameassume tunanunuaga
Mshanunua tisa so far. Katarama Bought 3, Chakaby bought 2 and other still coming, Saul has ordered 6 😂😂🤣

Two for Chakaby👇👇
1726235424770.jpeg
 
Girl Maria Vs Al ahly 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hongera kwa bus station, lakini kwa commuter rail hua tumewapiga mwosho mmoja. Ona sasa Dar is a slum commuter rail.🤣🤣🤣
Image
Safi sana umeanza kukubaliana na ukweli 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Alafu kuhusu commuter rail wewe mkenya huna guts za kuniambia chochote ikiwa commuter train zenu ni hizi 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣
IMG_9233.jpg
tapatalk_893033227_456x262.jpg
 
Back
Top Bottom