ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
π€£ π€£ π€£ π€£Na nikakuambia you are foolish unaona vibaya. How can you see Mt. Kenya from Arusha? Ama hiyo second highest mountain in Africa unadhani ni gani?
Mnafake data kama kawaida yenu πππ nioneshe upande wa Kunyaland kukiwa na line ya trucks nyingi kama hii zikiingia TanzaniaTrade between Kenya and Tanzania for the past years.
And Kenya is still the most developed country in East Africa, everybody knows that.
View attachment 3094515
Nini inapita hapo zaidi ya donkey drawn carts πShanzu getting two new fly overs
View attachment 3094455
Data ya mama Ngina. Kwa akili yako Burundi imeizidi Tanzania kwa infrastructure development sio π€£π€£π€£π€£Msijipandishe kwa levels zenye bado hamjafika. Hakuna siku Tanzania will even be on the same level with Kenya development wise.
View attachment 3094460
Last season mvua zikiuwa nyingi na wao wakapata mahindi mengi lakini season hii watarudi na magoti kama kawaida yao π€£π€£π€£π€£View attachment 3094487
kwa hiyo sio mahindi mliyoagiza kutoka tanzania , pia jua kwa mwaka 2023 mahindi mengi yameenda zambia na congo kulipokuwa na njaa
Mombasa labda ilinganishwe na darAccording to Tanzanians Arusha is better than Mombasaπππ.
Arushaπππ€£
View attachment 3094397
Mombasa
View attachment 3094398
Keshakasilika, haya weka hiyo picha ya sasa Bushman π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Asante kwa picha ya kitambo watchman. That area saa hii is so smooth than your ass.
Yani hawa jamaa wame fail kabisa, mpaka leo mtu bado anapost Thika road wakati sisi tushaachana na Kimara-Kibaha road, now tumeongeza urefu itakuwa Ubungo-Kibaha road, hawa jamaa walichojaliwa ni midomo mirefu kama samaki chuchunge lkn on ground wako hovyo sana, Ubungo-Kibaha road πππhivi kumbe kwa miaka yote maendeleo kenya ni kuonesha majengo tu? hamna plan zozote walau za kuwakwamua wananchi wenu na umaskini
Na ndiyo maana tunasema nyinyi ni washamba mnooo, sasa hivi vimaneno vya 90 unavileta 2024, Kenya kuna electric train?But everyone knows that Kenya is more developed than Tanzania while Tanzanians are more poorer than Kenyans.
Kila siku huwa nasema humu, safi sana mkuu umepiga kwenye mshono π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππleta data sio maneno. ukisema kenyans are more developed than tanzania unatakiwa ulete ripoti au link kuonesha uhalisia usilete maneno
kwa mfano mimi naweza sema pia GDP a tanzania ni kubwa kuliko ya kenya kwa kigezo cha kuwa public debt ya kenya 68percent huku tanzania ikiwa ni 35 percent kwa hiyo tukija kwenye surplus capita uakuta tanzania bado inabaki na surplus
SI KENYA TANZANIA GDP A 113 79.4PUBLIC DEBT% B 0.68 0.35PUBLIC DEBT C 76.84 27.79SURPLUS D=A-C 36.16 51.61
kwa mantiki hiyo hata muwe na GDp ya kiasi gani bado hamna surplus ya kuweza kushindana na Tanzania kwa sababu kwa surplus ambayo tunakuwanayo kutokana na uzalishaji bado tunaweza kufanya vitu vya ziada kwa usd 15.45billion na ndo maana unaona kabisa hakuna miradi mipya ambayo mnaanzisha na kila mnapopanga mnaishia kucancell miradi yenu kwa kukosa fedha
Mkono wa jembe π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Bado mnahangaika na ng'ombe yenye vidole kama vya mamba? π€£ π€£ π€£ π€£
Teargas Fingers
View attachment 3094511
Mwenyewe anajiona yupo soft π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kwa vidole hivi. Haki ya nani wewe unaishi maisha duni tena unakaa Kibera ndani ndani kabisa
View attachment 3094514
Midomo mirefu kama SGR ya Tanzania.Yani hawa jamaa wame fail kabisa, mpaka leo mtu bado anapost Thika road wakati sisi tushaachana na Kimara-Kibaha road, now tumeongeza urefu itakuwa Ubungo-Kibaha road, hawa jamaa walichojaliwa ni midomo mirefu kama samaki chuchunge lkn on ground wako hovyo sana, Ubungo-Kibaha road πππView attachment 3094661
Mnafake data kama kawaida yenu πππ nioneshe upande wa Kunyaland kukiwa na line ya trucks nyingi kama hii zikiingia Tanzania
View: https://youtu.be/gUAeMqqe7ZQ?si=8PH-dlpnGVzgZCCi