Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1726156378638.png

hapa bado hatujafika tu mshaanza kuomba pooh. yaan mwaka wa kwanza wa implementation ya PPT wakenya mshaanza kulia, hapa ndo tumeanza mwaka wa pili ya mpango kazi wetu
 
Ilala Dar es Salaam

Sema tunakosa Madrone pilots...mji wa Dar haujapigwa picha nyingi kuonyesha developments kama Wanavyofanya Nairobi picha zinapigwa angle tofauti tofauti...kumbe kimji kidogo kama kidoge...

Hii ni ilala...hakuna Kariakoo hapa, no Posta, no kijitonyama....

Screenshot 2024-09-12 192317.png
Screenshot 2024-09-12 192317.png
 
Kama hii ndio CBD 🤣 🤣 🤣 sasa nimeelewa mbona hizo ghorofa zingine hazijajengwa hapo. The CBD is very ugly. 🤣🤣🤣 WTF is this?
Ukinionyesha mji wowote from kenya apart from Nairobi, wenye it looks beautful than Arusha, nafunga hii account for good. Naona unajichekesha tu.
 
CBD ya Arusha😂😂😂🤣

Roads are unmarked.
Buildings are mostly shacks.
Buildings are rusty and old.
1726160507949.jpeg
 
Back
Top Bottom