Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yaan kitu kimoja wakenya kinachowaponza ni kuwa mmekariri kuwa nyinyi ni dominant sasa kitu msichojua ni kuwa karibia kila nchi inayowazunguka inazid kudevelop na kuzidi kuwanyanganya soko. kenya kwa miaka unayosema ilikuwa na advantage kwa sababu tanzania kupitia central corridor ilikuwa haijafunguka na kwa kukumbusha tu miaka ya 2007 kurudi nyuma ili kuja dar iliwalazimu watu wapitie namanga sababu kuwepo ubovu wa barabara ila kwa sasa kupitia central corridor imekuwa njia rahisi sana.
tukija kwenye exports kuja kwenu
usafirishaji mkubwa hasa mahindi na mazao kama avacado ilitoka tanzania kenya halafu nyinyi mkawa mnafanya exportation. lakini kwa sasa kuna viwanda lukuki vimefungwa kwa mfano ukienda songea kuna mohamed enterprises super feo na viwanda kadha wa kadha ambavyo vinafanya processing kwa ajili ya kupeleka moja kwa congo, rwanda mpaka sudani kwa hiyo lazima mahindi kwenu yamepunbue lakini bei haijashuka .
central corridor inaenda kuwapiga kwenye biashara ya mizigo mpaka mtashangaa
barabara ya kutoka tanga kiteto kwenda singi inajengwa hivi na bandari ya tanga tayari inafanya kazi, hivyo tegemeni mombasa kushindana na banadri tatu yaani tanga, dar es salaam na mtwara ambazo mpaka sasa zote zinafanya kazi wakati ya lamu hata foundation stone bado.
hivi rwanda atakubali kweli kuendelea kutumia mombasa wakati kutoka tanga kwenda kigali anapunguza zaid ya km 500 barabara ya tanga-kiteto -singida ikimalizika
Bandari ya tanga ikifanyiwa ufanisi hadi uganda wataitumia,TZ tulilala sana aisee!
 
Buy Kenya Build Kenya. Thank you Chakaby for promoting Kenyan products😂😂👏👏

1726173781142.jpeg
 
wamekalia magorofa wakijua ndo maendeleo huku wakijisahau kuwa tanzania ishawafanyia umafia watakuja shtuka wamepoteza nda hilo soko la uganda.
Hapo sio umafia,kijiografia inatubeba sana,sema tu hapo nyuma tulikosa ubunifu na watanzania wachache wasio wazalendo walitumika kusabotage viwanda na bandari kwa maslahi yao binafsi
 
Buy Kenya Build Kenya. Thank you Chakaby for promoting Kenyan products😂😂👏👏

View attachment 3094521
wala hatuna shida ukipromote. ndio mlikuwa developed lakini sasa hivi mmestack na kama unabisha ebu jaribu kufuatilia strategic invesstments zinazofanywa tanzania uone kama bado mtakuwa na hilo soko east africa
 
The residential electricity price in Kenya is KES 31.850 per kWh or USD 0.247. The electricity price for businesses is KES 26.030 kWh or USD 0.202. These retail prices were collected in December 2023 and include the cost of power, distribution and transmission, and all taxes and fees. Compare Kenya with 150 other countries.
bei ya umeme kenya
The residential electricity price in Tanzania is TZS 229.590 per kWh or USD 0.084. The electricity price for businesses is TZS 236.370 kWh or USD 0.087. These retail prices were collected in December 2023 and include the cost of power, distribution and transmission, and all taxes and fees. Compare Tanzania with 150 other countries.
bei ya umeme tanzania
halafu nambie invester ataenda wapi
umeme wa kenya ni gharama kwa kiasi cha tzs 431.95
 
wala hatuna shida ukipromote. ndio mlikuwa developed lakini sasa hivi mmestack na kama unabisha ebu jaribu kufuatilia strategic invesstments zinazofanywa tanzania uone kama bado mtakuwa na hilo soko east africa
Is there anything you have to support your claim?
 
wala hatuna shida ukipromote. ndio mlikuwa developed lakini sasa hivi mmestack na kama unabisha ebu jaribu kufuatilia strategic invesstments zinazofanywa tanzania uone kama bado mtakuwa na hilo soko east africa
Bado tumewashinda mbali sana.

1726174807669.jpeg
 
wala hatuna shida ukipromote. ndio mlikuwa developed lakini sasa hivi mmestack na kama unabisha ebu jaribu kufuatilia strategic invesstments zinazofanywa tanzania uone kama bado mtakuwa na hilo soko east africa
kaka unabishana na mtu kama huyo amabae hajui rais wao wa nchi kasema kwa mdomo wake kua kwa sasa kenya haina pesa ya kuendeleza hata JKIA, wameona wampe adani kwa sababu serekali yao haina pesa 😂😂😂

alaf wanakwambia wana economy ambayo inajiharia mpaka sasa

na bado wameplan kuuza makampuni mengi ya serekali kwasababu hawana pesa na serekali imefilisika kabisa


View: https://x.com/citizentvkenya/status/1834302408954192346?s=46
 
Bado tumewashinda mbali sana.

View attachment 3094527
so walotajwa ni wakenya 2000 wameekeza chini ya 1.5b usd wakat amsons pekee kanunua bamburi kenya kwa 180m usd, taifa gas kaweka 200m usd, azam over 50m usd etc hao ni watu watatu tu nimekutajia bado kina oilcom wenye petrol station kenya na wanafanya bulk oil business, sijagusa lake gas ambae pia alinunua oil station zote za hashi na depot zake over 5b ksh

do math alaf rudi hapa na vyeti vyako nione kama kweli umesoma shule 😂😂😂
 
Back
Top Bottom