Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sawa mimi nimekuambia hiyo ya mwaka 2023 uko sawa haya na ya 2022 na 2021 ikoje leta article ambayo inaonesha 2021 na 2022 ulikuwa na surplus
Tanzania only had a surplus against Kenya in 2021. Years zingine zote from 2000 they have been having a deficit.
 
wala mimi sipingani na wewe ila nachotaka unambie huu ni mwaka gani
Kenya-Tanzania Trade: In 2022, Kenya exported $418M to Tanzania. The main products that Kenya exported to Tanzania were Soap ($52.6M), Coated Flat-Rolled Iron ($30.5M), and Packaged Medicaments ($28.8M). Over the past 5 years the exports of Kenya to Tanzania have increased at an annualized rate of 8.8%, from $274M in 2017 to $418M in 2022
 
Tanzania only had a surplus against Kenya in 2021. Years zingine zote from 2000 they have been having a deficit.
yaan kitu kimoja wakenya kinachowaponza ni kuwa mmekariri kuwa nyinyi ni dominant sasa kitu msichojua ni kuwa karibia kila nchi inayowazunguka inazid kudevelop na kuzidi kuwanyanganya soko. kenya kwa miaka unayosema ilikuwa na advantage kwa sababu tanzania kupitia central corridor ilikuwa haijafunguka na kwa kukumbusha tu miaka ya 2007 kurudi nyuma ili kuja dar iliwalazimu watu wapitie namanga sababu kuwepo ubovu wa barabara ila kwa sasa kupitia central corridor imekuwa njia rahisi sana.
tukija kwenye exports kuja kwenu
usafirishaji mkubwa hasa mahindi na mazao kama avacado ilitoka tanzania kenya halafu nyinyi mkawa mnafanya exportation. lakini kwa sasa kuna viwanda lukuki vimefungwa kwa mfano ukienda songea kuna mohamed enterprises super feo na viwanda kadha wa kadha ambavyo vinafanya processing kwa ajili ya kupeleka moja kwa congo, rwanda mpaka sudani kwa hiyo lazima mahindi kwenu yamepunbue lakini bei haijashuka .
central corridor inaenda kuwapiga kwenye biashara ya mizigo mpaka mtashangaa
barabara ya kutoka tanga kiteto kwenda singi inajengwa hivi na bandari ya tanga tayari inafanya kazi, hivyo tegemeni mombasa kushindana na banadri tatu yaani tanga, dar es salaam na mtwara ambazo mpaka sasa zote zinafanya kazi wakati ya lamu hata foundation stone bado.
hivi rwanda atakubali kweli kuendelea kutumia mombasa wakati kutoka tanga kwenda kigali anapunguza zaid ya km 500 barabara ya tanga-kiteto -singida ikimalizika
 
hivi kumbe kwa miaka yote maendeleo kenya ni kuonesha majengo tu? hamna plan zozote walau za kuwakwamua wananchi wenu na umaskini
Ava upande wa magari,maghorofa kilimani,upperhill,eastleigh somalia ndani ya kundustan,expressway,thika road hapo wamemaliza,kingine kiingereza kibovu baada ya hapo wanarudi mukuru kwa njenga kupigwa na mbu na joto
 
Bado mnahangaika na ng'ombe yenye vidole kama vya mamba? 🤣 🤣 🤣 🤣
Teargas Fingers

Screenshot 2024-09-12 002627.png
 
Ava upande wa magari,maghorofa kilimani,upperhill,eastleigh somalia ndani ya kundustan,expressway,thika road hapo wamemaliza,kingine kiingereza kibovu baada ya hapo wanarudi mukuru kwa njenga kupigwa na mbu na joto
wamekalia magorofa wakijua ndo maendeleo huku wakijisahau kuwa tanzania ishawafanyia umafia watakuja shtuka wamepoteza nda hilo soko la uganda.
 
yaan kitu kimoja wakenya kinachowaponza ni kuwa mmekariri kuwa nyinyi ni dominant sasa kitu msichojua ni kuwa karibia kila nchi inayowazunguka inazid kudevelop na kuzidi kuwanyanganya soko. kenya kwa miaka unayosema ilikuwa na advantage kwa sababu tanzania kupitia central corridor ilikuwa haijafunguka na kwa kukumbusha tu miaka ya 2007 kurudi nyuma ili kuja dar iliwalazimu watu wapitie namanga sababu kuwepo ubovu wa barabara ila kwa sasa kupitia central corridor imekuwa njia rahisi sana.
tukija kwenye exports kuja kwenu
usafirishaji mkubwa hasa mahindi na mazao kama avacado ilitoka tanzania kenya halafu nyinyi mkawa mnafanya exportation. lakini kwa sasa kuna viwanda lukuki vimefungwa kwa mfano ukienda songea kuna mohamed enterprises super feo na viwanda kadha wa kadha ambavyo vinafanya processing kwa ajili ya kupeleka moja kwa congo, rwanda mpaka sudani kwa hiyo lazima mahindi kwenu yamepunbue lakini bei haijashuka .
central corridor inaenda kuwapiga kwenye biashara ya mizigo mpaka mtashangaa
barabara ya kutoka tanga kiteto kwenda singi inajengwa hivi na bandari ya tanga tayari inafanya kazi, hivyo tegemeni mombasa kushindana na banadri tatu yaani tanga, dar es salaam na mtwara ambazo mpaka sasa zote zinafanya kazi wakati ya lamu hata foundation stone bado.
hivi rwanda atakubali kweli kuendelea kutumia mombasa wakati kutoka tanga kwenda kigali anapunguza zaid ya km 500 barabara ya tanga-kiteto -singida ikimalizika
Trade between Kenya and Tanzania for the past years.

And Kenya is still the most developed country in East Africa, everybody knows that.

1726173202082.jpeg
 
You are just stupid.
"Furthermore the Institute also receives patients from nearby countries, especially those sharing borders with Tanzania including Kenya, Malawi, Comoro Island, Zambia, Uganda, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of Congo, Zimbabwe, Sudan and Somalia."

View: https://x.com/dailynewstz/status/1834224385097355708

Yet your politicians and wealthy people are airlifted to Kenya for treatment everyday. Kuwa na hospitali moja ya maana sio development.

For your information that hospital is not even among top 5 best hospitals in East Africa.
 
Buy Kenya Build Kenya. Thank you Chakaby for promoting Kenyan products😂😂👏👏

1726173630437.jpeg
 
Back
Top Bottom