Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa has officially beaten Kampala in High-rise and general development. It is coming for Dar es Salaam at an alarming rate.
IMG_20240912_141410.jpg
IMG_20240912_141158.jpg
 
What amazes me with Kenya is there purchasing power. There are about 20 towers of 30 floors under construction in Westlands alone. Surprisingly, all these towers are sold out, or just about. Many are sold out before construction begins.
Imagine, this was launched just a few weeks ago!
IMG_2166.jpeg
 
But everyone knows that Kenya is more developed than Tanzania while Tanzanians are more poorer than Kenyans.
leta data sio maneno. ukisema kenyans are more developed than tanzania unatakiwa ulete ripoti au link kuonesha uhalisia usilete maneno
kwa mfano mimi naweza sema pia GDP a tanzania ni kubwa kuliko ya kenya kwa kigezo cha kuwa public debt ya kenya 68percent huku tanzania ikiwa ni 35 percent kwa hiyo tukija kwenye surplus capita uakuta tanzania bado inabaki na surplus
SIKENYATANZANIA
GDPA
113​
79.4​
PUBLIC DEBT%B
0.68​
0.35​
PUBLIC DEBTC
76.84​
27.79​
SURPLUSD=A-C
36.16​
51.61​

kwa mantiki hiyo hata muwe na GDp ya kiasi gani bado hamna surplus ya kuweza kushindana na Tanzania kwa sababu kwa surplus ambayo tunakuwanayo kutokana na uzalishaji bado tunaweza kufanya vitu vya ziada kwa usd 15.45billion na ndo maana unaona kabisa hakuna miradi mipya ambayo mnaanzisha na kila mnapopanga mnaishia kucancell miradi yenu kwa kukosa fedha
 
Msijipandishe kwa levels zenye bado hamjafika. Hakuna siku Tanzania will even be on the same level with Kenya development wise.

1726166582314.jpeg
 
Tanzania-Kenya Trade: In 2022, Tanzania exported $482M to Kenya. The main products that Tanzania exported to Kenya were Corn ($118M), Petroleum Gas ($36M), and Kraft Paper ($32.4M). Over the past 5 years the exports of Tanzania to Kenya have increased at an annualized rate of 13%, from $262M in 2017 to $482M in 2022.
ebu soma hiyo kidogo upate uzoefu kuwa pamoja na yote sisi bado tunawauzia mzigo mnene hivyo vibasi haviwezi vuta hiyo gap ya usd 80mil
 
Msijipandishe kwa levels zenye bado hamjafika. Hakuna siku Tanzania will even be on the same level with Kenya development wise.

View attachment 3094460
hakuna aliyesema tunajilinganisha mimi nimekuelekeza no matter muwe na GDP hata ya trillion ngapi but bado mna deficit ya 15bil na tanzania maana na hapa tunaweza orodhesha project zenu mlizoachana nazo kwa kukosa pesa
 
Deficit gani unaongelea wewe duanzi? Here is the trade between Tanzania and Kenya.

Tanzania export to Kenya =53B
Kenya Export to Tanzania = 68B

Tanzania Trade decificit =15.3B

1726167919542.png
 
Back
Top Bottom