hii ni nini wewe kondoo😂😂😂😂😂
aliyeuunda kitu hiki kwa kweri hata kama ni designer hapa hajafanya ubunifu wowote, hii inafanana na shule tu
Ni bus park. Ama ulitaka iwe nini?😂😂🤣😂hii ni nini wewe kondoo😂😂😂😂😂
What do you know about designing when your buildings are being designed by Kenyans?aliyeuunda kitu hiki kwa kweri hata kama ni designer hapa hajafanya ubunifu wowote, hii inafanana na shule tu
kwa hiyo hapa ni kenya?
jengo gani limeundwa na wakenya tanzania? toa mifanoWhat do you know about designing when your buildings are being designed by Kenyans?
Nimesema designed not built? Hivi unajuanga kusoma kweli?jengo gani limeundwa na wakenya tanzania? toa mifano
lakini huwezi nambia designer ashindwe kudesign vitu vizuri kwenu aje adesign tanzania
vyovyote leta mifanoNimesema designed not built? Hivi unajuanga kusoma kweli?
TPA towervyovyote leta mifano
Is this a church?View attachment 3094764
ukipewa uchague wewe utachagua stendi ipi hapo.
hiyo MANGAKA BUS TERMINAL. yaan stendi ya wilaya ndogo sana ndani ya tanzania
whaat bus park ina building blocks kama shule au ilikua shule badae politician kaifanya kua bus stage???😂😂😂😂😂Ni bus park. Ama ulitaka iwe nini?😂😂🤣😂
So bus park siku hizi iko na standard building design that should be replicated everywhere?😂😂🤣😂.whaat bus park ina building blocks kama shule au ilikua shule badae politician kaifanya kua bus stage???😂😂😂😂😂
hvi kenya munakwama wapi ????
daah ndugu nikija nikasema tumejenga bunge lenu bila kuleta proof yoyote ya kimaandishi ntakuwa nimekoseaTPA tower
Dodoma Parliament
Rock City mall
East Africa Parliament in Arusha