Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Data ya mama Ngina. Kwa akili yako Burundi imeizidi Tanzania kwa infrastructure development sio 🤣🤣🤣🤣
Very much. Burundi imeshinda Tanzania kwa infrastructure. Na kama unapinga tafuta Africa Development Bank uwapigie kelele, hao ndio walitengeneza hiyo data😂😂
 
Na ndiyo maana tunasema nyinyi ni washamba mnooo, sasa hivi vimaneno vya 90 unavileta 2024, Kenya kuna electric train?
Kenya kuna BRT?
Kenya kuna modern airport?
Kenya kuna modern stadium?
Kenya kuna umeme wa uhakika?

Bushman tembea ujionee usijifiche hapo kibera ukadhani na nchi nyingine haziendelei kama nchi yako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Do you know the meaning of an infrastructure wewe kunguni? Modern na Uhakika is not an infrastructure.😂😂🤣😂.

Yes Kenya has public transport.
Kenya has airports
Kenya has stadiums
Kenya has more electricity than Tanzanian with better connectivity than Tanzania as well.

Anyway I don’t expect watchman like you to know such things.
 
Yani hawa jamaa wame fail kabisa, mpaka leo mtu bado anapost Thika road wakati sisi tushaachana na Kimara-Kibaha road, now tumeongeza urefu itakuwa Ubungo-Kibaha road, hawa jamaa walichojaliwa ni midomo mirefu kama samaki chuchunge lkn on ground wako hovyo sana, Ubungo-Kibaha road 👇👇👇View attachment 3094661
From ubungo to kimara itakuwa 10 lanes plus service roads on both sides.
 
Na ndiyo maana tunasema nyinyi ni washamba mnooo, sasa hivi vimaneno vya 90 unavileta 2024, Kenya kuna electric train?
Kenya kuna BRT?
Kenya kuna modern airport?
Kenya kuna modern stadium?
Kenya kuna umeme wa uhakika?

Bushman tembea ujionee usijifiche hapo kibera ukadhani na nchi nyingine haziendelei kama nchi yako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huko umeenda mbali mkuu walete stand ya bus kama ya korogwe tuu watafute kenya nzima tuone.
 
Do you know the meaning of an infrastructure wewe kunguni? Modern na Uhakika is not an infrastructure.😂😂🤣😂.

Yes Kenya has public transport.
Kenya has airports
Kenya has stadiums
Kenya has more electricity than Tanzanian with better connectivity than Tanzania as well.

Anyway I don’t expect watchman like you to know such things.
Haya sawa tumekubali ila tuoneshe bus terminal moja tuu tufunge mjadala kuwa kenya has infrastructure nyingi kushinda Tanzania 😁
 
Kwa akili hii ya kisoda naona najishushia hadhi kujadiliana na wewe.
Najua hampendi kuambiwa ukweli😂😂🤣. Uzuri telling the truth is my trade😂😂🤣

1726211291998.jpeg
 
I’m softer than even your unborn child. Wewe si ulituonyesha mkono wako hapa and it was hard kama miguu with dirty nails?😂😂🤣
Unapenda ushoga lkn ushoga unakukataa kutokana na ulivyo, umekomaa sn, baki na jembe wakulima wenzio watakupelekea moto huko huko shambani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unapenda ushoga lkn ushoga unakukataa kutokana na ulivyo, umekomaa sn, baki na jembe wakulima wenzio watakupelekea moto huko huko shambani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Did you see my hands? Mkulima anaezakuwa na soft hands kama zangu. Most of you want to have such soft hands, hata wewe na zile zako ngumu najua unatamani kuwa na soft hands 😂😂🤣😂
 
Yani hawa jamaa wame fail kabisa, mpaka leo mtu bado anapost Thika road wakati sisi tushaachana na Kimara-Kibaha road, now tumeongeza urefu itakuwa Ubungo-Kibaha road, hawa jamaa walichojaliwa ni midomo mirefu kama samaki chuchunge lkn on ground wako hovyo sana, Ubungo-Kibaha road 👇👇👇View attachment 3094661
na je unajua thika highway ilijengwa kwa mkopo kutoka AFDB mpaka leo hawajamaliza deni 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom