Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,101
- 32,923
You are just fooling yourself 😎...JKIA adani amekuja na 1.85 billion na bado ameambulia patupu..
You are just fooling yourself 😎...JKIA adani amekuja na 1.85 billion na bado ameambulia patupu..
🤣tetanus agent in East and Central AfricaThose Primitive Analog Isuzu Buses, can be used in Nairobi and Juba only, even in Mogadishu cannot accept tetanus infection
Mchina bado yupo Site 😂😂😂huna akili wewe SGR toka imeanza haijamaliza hata miezi mitatu unataka kunambia mkandarasi atakua kashamaliza kazi yake au?? ikiwa treni yenu mpaka leo miaka 7 inasimamiwa na wachina 😂😂😂😂😂😂
yupo site mpaka kiyama na viboko wanatandikwa 😂😂😂😂😂😂Mchina bado yupo Site 😂😂😂
Kwa hivyo hio sio trials?Two years ago ni treni ya mkandarasi kutest alignment ya rails na other engineering parameters.
trails za manufacturer warranty yake hua inachukua mpaka 1 year kutegemea na mkataba , bado SGR yetu iko kwenye mkataba wa maangalizi ya vifaa vyote vilifungwa, kama kitu hujui uliza ujibiwe kondoo wewe😂😂😂😂Kwa hivyo hio sio trials?
Hawana pa kutokea wanatakiwa wanunue Isuzu. Ndio usemi buy kenya build kenya 😁Kenyans buses. Made in Kenya 😁
Kama Buy Kenya build Kenya yenyewe ndio hii duh salaaaleeeee.
Full kunguni na mende 🤣🤣🤣🤣
www.facebook.com
Kwahyo hapa gorofa ipi ni above 30.? 😂😂😂😂 kwani kuna gorofa ya maana from mombasa.?Its skyscraper season in Mombasa. Hakuna ghorofa above 30 floors outside dar slum. Kama zipo ziletwe hapa. View attachment 3094055View attachment 3094056View attachment 3094057View attachment 3094058
Tofautisha kati ya engineering trials by the contractor na service trials by TRC.Kwa hivyo hio sio trials?
Maneno bila picha, naelewa nimepeana mtihani mkubwa, wacha nipunguze mpaka 25 flrs.Kwahyo hapa gorofa ipi ni above 30.? 😂😂😂😂 kwani kuna gorofa ya maana from mombasa.?
Mtu hawezi amini watu wanaingia kwa dirisha kwenye daladala za dar slum 😂😂Dasilinga, before 👇🏾View attachment 3094180👇🏾BRT phase 2 done.✅ View attachment 3094158View attachment 3094160View attachment 3094161
We Ndio unafaa kupost picha za hiyo gorofa ya maana hapo mombasa.Maneno bila picha, naelewa nimepeana mtihani mkubwa, wacha nipunguze mpaka 25 flrs.
Pole sana hivi ndivyo watu wanapanda mwendokasi 👇🏾hii ni picha ya leoMtu hawezi amini watu wanaingia kwa dirisha kwenye daladala za dar slum 😂😂
Nimekwambia daladala unanionesha BRT ambayo iko inefficient 😂😂😂Pole sana hivi ndivyo watu wanapanda mwendokasi 👇🏾hii ni picha ya leoView attachment 3094205View attachment 3094206
Kwahio hizo nimeweka ni makalio ama, hakuna gorofa moja yenye 25 flrs nje ya dar slum.We Ndio unafaa kupost picha za hiyo gorofa ya maana hapo mombasa.