Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata by 2030 hamtakua mumefikisha demand ya 2000mw. 🤣 🤣 🤣
View attachment 3094250
1.1.2 Electricity Monthly Peak DemandPeak demand is a measure of the highest load demand in the interconnected network for a specified period. It occurs between 2000hrs-2030hrs in the Coastal region and 1930hrs-2000hrs for the rest of the country. The peak demand reached 2,149 MW which was recorded on 14th December 2022.

sasa hapo utofauti wetu tanzania na nyinyi uko wapi kipindi hicho hata mgodi wa kahama haujaunganishwa kwa grid ya taifa. kukumbusha tu north mara mine consumption yake baada ya kuunganishwa ni 40mg
 
Attachments

Habari za hiv leo wizaran, siri imefichuka... ilibainika kuwa Obama wa Bongo na Mr Bean walipiga deal la bil 2 (cha juu) wakat wakiwa shirika la "Tunaangaza Nuru Yako".. ndo mana Jumba Jeupe ilipopata habari/ushahidi waliwapiga chin wote ndan ya wiki moja, na wameambiwa wazirudishe zote
 
Niongeze nini, kwani mimi ni TANESCO?p
si umesema kuwa hatutakuwa na uwezo wa kufikisha hizo 2000Mg nimekuambia hizo taarifa huwa zinaandaliwa kwa QUarter na hiyo taarifa sanasana itakuwa ni quarter ya pili ya 2023/2024 sasa kwa taarifa sahihi jua kuwa kipindi cha kuanzia april mpaka august mwaka huu idadi ya viwanda na watumiaji waliounganishwa kwa grid ya taifa ni kubwa sana ikiwamo hata vile viwanda vilivyokuwa vinatumia makaa ya mawe na diesel kama Northa mara mining. kwa point hizo jua consumption kwa kuanzia mwaka 2024/2025 itapapanda na kuipita hiyo 2000Mg kwa sababu tu kwa hiyo taarifa 45Mg za north mara na sgr bado hazijaingizwa humo. pili SINOTAN industrial park kuna viwanda vishaanza kufanya kazi na hapo taarifa yake hutaikuta. Dangote naye cement inaenda kuunganishwa hapo na consumption ni zaid ya 40Mg.
kuna viwanda kibao vinajegwa ukanda wa mkuranga na vyote vinahitaji umeme.
 
Nyinyi hupiga tu mdomo, sasa unapinga data ya AFDB na TANESCO. 🤣 🤣 🤣 Hii sio umbea ya Simba na Yanga ile mumezoea, ongea na facts, weka data tuone.
 
1726155356761.png

Yaan hapo kuna mamiradi yanaendelea kujengwa tu kwa mfumo wa PPP ebu check umeme mwingine huo
yaan 790MG hapo ukiongeza sijui kenya mtatufikia lini
 
Nyinyi hupiga tu mdomo, sasa unapinga data ya AFDB na TANESCO. 🤣 🤣 🤣 Hii sio umbea ya Simba na Yanga ile mumezoea, ongea na facts, weka data tuone.
nani kapinga taarifa zinatoka kwa kila robo sasa GGM sasa uzinduzi wa uunganishwaji wa GGM umefanyika tarehe 13/08/2024 sasa tegemea taarifa ya matumizi ya umeme wa GM Kkuanza kuonekana kuanzia mwezi wa kumi kwa sababu ya kwanza ya mwaka 2024/2025 itaaishia tarehe 30/9/2024 kwa mwaka wa fedha 2024/2025 au tukuelezea maana ya mwaka wa fedha pia(financial year)
 
Back
Top Bottom