Naona figure zimekushtua. Pole sana waulize youtuber wenu kama kuna trip wa;ienda na treni haukujaa. In fact watu wanataka more trips ila TRC wako reluctant hawawezi kutumia hizi numbers kuweka ratiba ya kudumu kwasababu mpaka sasa hawajui ni real demand au ndio wale wanapanda kutoa gundu.
Ni hivi treni inabeba abiria kama 970 full capacity, amua wewe utapunguza wangapi upate figure unayotaka halafu zidisha mara 4 trips za Dar-Dom-Dar na 4 trips za Dar-Moro-Dar.
Halafu usitupangie treni yetu ifanye nini. Ndio maana unaona tumenunua coaches za abiria tu for now tunajua when tutaanza na mizigo usitupangie. Wewe deal na lile gari moshi lenu. Hivi ushawahi hata kulipanda? I dont think so! Wala sishangai hata wale youtuber wenu wengi hawajawahi kupanda gari moshi lenu ila washapanda sgr ya Tz.
TAZARA loading....