Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Daladala tena.? Kwani me nilikua nazungumzia habari za daladala.? Au unachanganyikiwa.? ๐๐๐Nimekwambia daladala unanionesha BRT ambayo iko inefficient ๐๐๐
Daladala tena.? Kwani me nilikua nazungumzia habari za daladala.? Au unachanganyikiwa.? ๐๐๐Nimekwambia daladala unanionesha BRT ambayo iko inefficient ๐๐๐
Heb post tena tuone, nliona umeweka gorofa zenye kwanza si nzuri wala si za maana. Heb chagua the best then share humu.Kwahio hizo nimeweka ni makalio ama, hakuna gorofa moja yenye 25 flrs nje ya dar slum.
Kibera and other big slums arround Nairobi as of 12/09/2024.Hawa watu wako hovyo sana, I wonder why we argue with them here.., google earth 3D images za Tz yote hakuna any!.., now vile Ruto amejenga affordable Kibera w atatoa wapi picha za kujiliwaza? Have u seen the works kwa ground, a big chunk was flattened.., highrises zimekam speed..,
Connect the dotsDaladala tena.? Kwani me nilikua nazungumzia habari za daladala.? Au unachanganyikiwa.? ๐๐๐
Wacha nikupuuze hauna contentHeb post tena tuone, nliona umeweka gorofa zenye kwanza si nzuri wala si za maana. Heb chagua the best then share humu.
Acha kujichekesha kama unapumuliwa.Hatujamaliza kuwasha mitambo yote pale JNHPP,tutavuka hiyo by the year end.Si niliskia mnazalisha 4000MW? Kumbe ni 2800MW๐๐๐คฃ๐
With a demand of 1400MW, you are a clown. ๐คฃ๐คฃ๐คฃAcha kujichekesha kama unapumuliwa.Hatujamaliza kuwasha mitambo yote pale JNHPP,tutavuka hiyo by the year end.
Tuko kwenye demand ya 2000mw,huo uzushi wako mpelekee RutoWith a demand of 1400MW, you are a clown. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Over 95% ya wakenya huwa wananuka.๐๐๐๐ haya ngoja waja waamue sasa ๐๐๐๐๐
Kubali maisha yako ya kinyangโau mzee.. you donโt have to fake little man. ๐๐๐๐ vile hutawazagi then unaminyana kwene matatu. Hiyo gari itakua haikaliki humo ndani mana raia wote wako na mbolea. ๐๐๐
Hii ndiyo kariakoo yenu?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃEastleigh concrete jungle
View attachment 3093546
Bado Nairobi imejaa slums... kimsingi ni slum capital ys hii Dunia. Tunawasitiri tu...worst slums in kenya
Mukuru zote...kwa Reuben, njenga nk
Kawangware
Korongocho
Mathare ( hii ni kubwa sana aisee kibera ikasome)
Na hapo kuna highrise slums zilizojaa mfano Pipeline..ghorofa moja wanakaa watu 3000 na wanashare toilets..ngua hazikauki nk
Mimi sijui viburi wanavitoaga wap hawa?
Mukuru September 2024
View: https://www.instagram.com/reel/C_vKWaUN3dy/?igsh=dm1qMjdwZWFyOHgx
Tuko kwenye demand ya 2000mw,huo uzushi wako mpelekee Ruto