Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngara, Nairobi

Image
 
Hamjui kuishi na wageni, walikuja wakati wa Covid baada ya kukaribishwa na Maghu. Leo hii wengi wamehamia Kenya, SA, Ghana na Nigeria. Bongolalas and your petty government have frustrated them. Kila uchao huko YouTube kumejaa complaints from African Americans on why bongoslum is full of sh*t.
Hatupapatikii mtu, nchi yetu ni blessed unataka njoo lkn uwe na pesa hutaki ondoka, hata kwao wanatufanyia hivyo hivyo, Tanzania sio Kenya wakiona mzungu tu au raia wa kigeni kutoka developed Nations wanampapatikia achukue mpaka uraia, huku kwetu uraia ndio kabisa ngumu sana.
 
Munataka wawe na pesa ju bongoslum kila mtu ni omba omba, unakuta jibaba anjielewa tu vizuri lakini ana omba omba kama mtu homeless. 🤣 🤣 🤣 Tembeeni dunia ili mjifunze kuishi na wageni.
 
wao wameumia sana na SGr ya tanzania

sasa wanatafuta kasoro kila kukicha😂😂
Napenda sana hizi changamoto zinavyotokea sasa hivi zitatuliwa kabla ya mradi kukabidhiwa kwetu na wakandarasi,kuonyesha hivi vitu ni kawaida kutokea mpaka sasa mradi bado upo kwa yep merkez,kunyan itabidi waumie tu maana ikifika dec changamoto za brt pia zitakua zishafanyiwa kazi,imagine dar yote ikiwa imezungukwa na blue buses kunyan watakavyoumia
 
Back
Top Bottom