Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Emirata 3 on MAN chassis.

Buy Kenya Build Kenya.
1725704106255.jpeg
 
Daaah eti hela nyingine zimenunua chapati😅😅😅😂😂😂.
NCAA (Ngorongoro) hao Bil 2 zilinunua chapati wakati zilitosha kuifumua Kimweri avenue road.

Hizi Kimweri Avenue na Haile Selassie acha tu, utafikiri hawajawahi pita government.

ChoiceVariable hizo barabara mbili zipo TARURA au TANROAD? nauliza kwa nia njema 🙏
 
😂😂😂😂 Teargas bana.

Mchina wetu alikimbia tuliambiwa hatujengi while tunaletewa Daily Dose.

Imekuaje tena 🤣🤣
Kwani mlikuwa mnajenga. Ndio mmeanza site clearing juzi na mnataka kujilinganisha na Talanta which is already at the foundation level.
 
Mara ooh, Tanzania ni Rafiki wa China and yet China is investing in Kenya😂😂🤣🤣👇👇

View attachment 3089425
Na zote ni debt eeh SGR, EXPRESSWAY,

Hizo zinacount as investment

Maana SGR mpo mnamlipa kwa investment yake licha ya kuishia porini, Expressway Toll ipo imesima kukusanya maokoto ya Juma Sharobaro.
 
Kwani mlikuwa mnajenga. Ndio mmeanza site clearing juzi na mnataka kujilinganisha na Talanta which is already at the foundation level.
🤣🤣🤣🤣🤣.

Eti kujilinganisha, wakati uwanja huo ukiwa render humu hatukulala, Daily dose.

Ila now unatafuta kujustify siku wa Arusha ukifunika eeh?
 
Fungulia tap juu ya mstari wa tako kwa pressure kuelekea chini kwanza then unakuja kujisafisha zaidi na mkono wako wa kushoto baada ya dakika 1 ya uchafu kuondoka, ila siwashangai sababu hamna maji ya kunywa ya kuchambia mtoe wapi? Sasa wale masikini wa vijijini huwa wanachambia nini? Probably mawe au magunzi ya mahindi

View attachment 3089402
View attachment 3089415
😂😂😂 eti magunzi.
 
Back
Top Bottom