Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo jamaa reasoning yake ni ya kipumbavu sana.

Issue ya kutumia maji kwenda Kwa choo is a religious one. Muslims do this all over the world. Yeye huenda ni Muislamu so he's basically doing what his religion requires of him.

If it's a matter of personal hygiene, makucha zake hazingejaa gundo la chafu kama tulivyoona kwenye Ile picha yake.

Ako hapa kutupigia kelele about usafi wakati yeye mwenyewe ni mchafu wa kupindukia if his nails are anything to go by
Imagine hizi zote ni mavi😂😂

IMG_0483.jpeg
 
Binomial nomenclature is the core and heart of microorganisms and diseases. You can’t wish it away. For your information, nobody will take you seriously if you continue writing candida albicans instead of Candida albicans. You need to revisit your Microbiology books😂😂
Bado unashikilia trivial reasons!?
😂😂😂😂😂😂😂😂
Huko toka rudi kwenye mada huko mimi sijadili.
 
The only African ever to become the UN Secretary General is Koffi Anan. Hakukuwa na mwingine before him na hakujakuwa na mwingine after him.

Ignorance yako ni ya hali ya juu bongolala
From 2007 to 2012 Asha rose Migiro wa Deputy UN general secretary and the Chief General secretary of UN to Africa in HIV/AIDS.
Shida yenu hamusomi kenge ninyi.
 
Huyo jamaa reasoning yake ni ya kipumbavu sana.

Issue ya kutumia maji kwenda Kwa choo is a religious one. Muslims do this all over the world. Yeye huenda ni Muislamu so he's basically doing what his religion requires of him.

If it's a matter of personal hygiene, makucha zake hazingejaa gundo la chafu kama tulivyoona kwenye Ile picha yake.

Ako hapa kutupigia kelele about usafi wakati yeye mwenyewe ni mchafu wa kupindukia if his nails are anything to go by
Hellow Mr. Red Eyes 👀 kumbe na wewe unatembea na mbolea matakoni? No wonder una red Eyes 👀 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bro Binomial Nomenclature is an important thing in medicine and Biology in general. You can’t escape it😂😂🤣😂.

Now that I have deflated your ego, let’s go back to spore forming bacteria and soap. Pour your stupidity again nikuumbue😂😂🤣
Mie huwa sipendi ubishani wa kijinga.
Ndio maana nikakwambia unaleta "SABABU ZISIZO NA MASHIKO".
Ndio maana sikutaka kuendelea na huo mjadala.

Nimekuuliza kule juu maswali mawili hujajibu.
*Is a spore in a stage of causing a disease!??
 
Wewe hakuna unachojua just accept and move on. Biology is a wide field which can’t be restricted on one area.

Bacteria is a very complicated organisms than you can’t manage on soap alone.
 
Huyo jamaa reasoning yake ni ya kipumbavu sana.

Issue ya kutumia maji kwenda Kwa choo is a religious one. Muslims do this all over the world. Yeye huenda ni Muislamu so he's basically doing what his religion requires of him.

If it's a matter of personal hygiene, makucha zake hazingejaa gundo la chafu kama tulivyoona kwenye Ile picha yake.

Ako hapa kutupigia kelele about usafi wakati yeye mwenyewe ni mchafu wa kupindukia if his nails are anything to go by
Suala la kujisafisha na maji sio la uislam acha UFALA.
Tanzania waislam,wakristo,wapagani kila mmoja hujisafisha kwa maji.
Na toka tuko wadogo unakuta tunaelekezwa kujisafisha na maji.
Nenda hata shule za serikali za Tanzania vyooni wameweka maji na makopo sio toilet paper you fool.
Kwahiyo Tanzania is an Islamic state!!??

Wakenya mijitu michafu sana.
Hivi kipindi umezaliwa ukiwa umejinyea mama alikua anakusafisha na tissue!??
 
Wewe hakuna unachojua just accept and move on. Biology is a wide field which can’t be restricted on one area.

Bacteria is a very complicated organisms than you can’t manage on soap alone.
😂😂😂😂😂😂Lamamaye mpini umeingia,nimekuuliza swali jibu swali kenge wewe.
Kama hujui kitu nyamaza.
Nenda kasome Clostridium wote ikiwemo uliyemtaja wanaenezwaje,wanaanzaje kuleta magonjwa na katika stage ipi.
 
Mbona unanituma niende nikasome? If you know I want you to tell me so that everybody here can see how stupid and ignorant you are😂😂.

I know what I’m talking about and that’s why I keep on saying that Soap can’t kill most bacteria, But because unapinga unafaa kutuambia the reason why you are disputing my fact.
 
Fala wewe mahospitalini kuzuia maambukizi ya Clostridium difficile infections hutumika alcohol based gels,sabuni zenye walau 10% ya Sodium chloride/Sodium hypochlorite na vimiminika vingine ambavyo ni alcoholic based.
Na ukiitizama dettol moja ya ingredients zake ni Sodium chloride.

Halafu nakaa nabishana na hii pang'ang'a hapa.
 
Suala la kujisafisha na maji sio la uislam acha UFALA.
Tanzania waislam,wakristo,wapagani kila mmoja hujisafisha kwa maji.
Na toka tuko wadogo unakuta tunaelekezwa kujisafisha na maji.
Nenda hata shule za serikali za Tanzania vyooni wameweka maji na makopo sio toilet paper you fool.
Kwahiyo Tanzania is an Islamic state!!??

Wakenya mijitu michafu sana.
Hivi kipindi umezaliwa ukiwa umejinyea mama alikua anakusafisha na tissue!??
Unaongea ni kama Tanzania Iko mbinguni na watu hawajawahienda. Kama kila mtu Tanzania hutawadha, zile makampuni za kutengeneza tissue papers zilizopo Tanzania zinatengeneza hizo tissue paper Kwa ajilj ya akina nani.

Nilisema kwamba if it's about personal hygiene, huyo kilaza wenu wala haingekuwa na makucha machafu design ile
 
Tanzania toilet paper hutumika katika majumba machache sana.
Pia toiltet paper nyingi huwekwa sana sana maofisini na maeneo mengine kama malls,hotels n.k n.k.
Na ukute kukawa na matumizi machache.
Kuhusu jamaa mimi sihusiki hilo jambo lake binafsi.
 
From 2007 to 2012 Asha rose Migiro wa Deputy UN general secretary and the Chief General secretary of UN to Africa in HIV/AIDS.
Shida yenu hamusomi kenge ninyi.
Is this what you said early bongolala? Didn't you say aliwahi kuwa Secretary General?

And it's called Secretary General, not general secretary as you put it.

Migiro wenu alikuwa Deputy Secretary General kenge wewe and the whole world knows that. Don't force issues
 
Back
Top Bottom