Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyerere na mao walianzisha hadi kampuni ya meli kati ya china TZ na mpaka leo bado,binafsi uncle's zangu wamezunguka sana dunia na hizo meli ambazo crews wake ni wa TZ na wachina tu,ofisi zipo pale kisutu kwa upande wa TZ,alipoingia mkapa ile kampuni ikaanza kulega lega kwa upande wa TZ,ilianza na meli 4 za bulk carrier sasa hivi walii charter kwa tajiri wa kichina ni kampuni kubwa ilikua inaitwa sinota kipindi chote mpaka serikali ya TZ na china walipoikodisha sasa hivi inaitwa cosco,ni mojawapo ya kampuni kubwa ya meli duniani ila wa TZ wengi hawajui,ofisi zipo kisutu na mpaka leo wa TZ wanafanya kazi kwenye hizo meli,(mabaharia),so ushirikiano wa TZ na china sio wa kimasihara View attachment 3087954View attachment 3087956View attachment 3087957
Mpaka natamani kulia like seriously hii kitu ilishindwa endelezwa asee

1. TIPER Refinery
2. SINOTASHIP
3. GENERAL TYRES
4. KIWANDA CHA MIZINGA
5. NABISCO
6. STEEL CHA MOROGORO
7. TANGANYIKA PAKERS
8. TEXTILES (MWATEX, MUSOMA TEXTILE, URAFIKI).

Vinauma asee.

Imagine vingekuwepo hadi leo kwa nguvu ile ile?
 
Mavitu mnaonesha hayana msaada wowote na mwananchi wa kawaida ambao ndio idadi kubwa ya wananchi wenu na any means ya chakula bora kwa siku. Nyie humu kama watchmen wa magetini huko Kareen hata simu zeni ni mbovu na mavazi ni duni, hizi Jaguar ananunua nani?
Nyang'au Teargas amekomalia kuonyesha maghorofa na mabasi kila siku utafikiri yeye ndio anayamiliki, ha ha ha😎😎😎
 
Mesmerizing Dodoma. There’s beauty in building your capital city from the scratch.
Zero Chinese influence, neither USA. unlike some wretched unfortunate neighbors, with silly President consistently traveling abroad to beg.
E23F144C-B4C3-4DEC-987A-62E27A35FF82.jpeg
93597F36-C6EB-4916-AA1F-0A1DEF43FA56.jpeg
93597F36-C6EB-4916-AA1F-0A1DEF43FA56.jpeg
E23F144C-B4C3-4DEC-987A-62E27A35FF82.jpeg
 
Back
Top Bottom