Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

From Bus and Coach technocrats.

Master Fabricator presents to you an Emirata Episode 3 on a MAN chassis and Engine.

1725637569643.jpeg

1725637604452.jpeg

1725637646354.jpeg

1725637669141.jpeg

1725637693837.jpeg
 
Yaani watu hawaogopi kukaa na kujifananisha na Tanzania?😂

Reli ina so many type of cars and locomotives, EMU achilia mbali Reli ni Ndefu kulilo midomo ya Wakundustan 😂 ikielekea kuunganisha nchi kibao.
Hapo hujaongelea TAZARA pia inayounganisha hadi South Africa, yaani watu hawaogopi kabisa? Kweli kuna mafuvu mabovu😂

Kiufupi hatufanani na Mbwa yoyote ukanda huu 😂 Happy weekend.
 
Yaani watu hawaogopi kukaa na kujifananisha na Tanzania?😂

Reli ina so many type of cars and locomotives, EMU achilia mbali Reli ni Ndefu kulilo midomo ya Wakundustan 😂 ikielekea kuunganisha nchi kibao.
Hapo hujaongelea TAZARA pia inayounganisha hadi South Africa, yaani watu hawaogopu kabisa? Kweli kuna mafuvu mabovu😂

Kiufupi hatufanani na Mbwa yoyote ukanda huu 😂 Happy weekend.
Nyang'auTeargas akiona hivi huwa anajikaza kisabuni😎😁😂
 
Kenya is a regional powerhouse just like South Africa, Egypt or Nigeria. Kama hakungekua na soko, JLR hawangekua na dealership Nairobi.
No photo description available.

No photo description available.

No photo description available.
Mavitu mnaonesha hayana msaada wowote na mwananchi wa kawaida ambao ndio idadi kubwa ya wananchi wenu na hawana any means ya chakula bora kwa siku. Nyie humu kama watchmen wa magetini huko Kareen hata simu zeni ni mbovu na mavazi ni duni, hizi Jaguar ananunua nani?
 
Back
Top Bottom