Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu ujumbe uwafikie Hawa wapumbavu nairobae na huyu NairobiWalker 😂😂😂 vijamaa vilikaza fuvu leo mapema.. kumbe Bongo Ndio mshirika mkubwa wa China kwa nchi za Africa.
Forest man mambo vipi? Hali ya msituni iko vipi? Bosco na Tusker wanawasumbua ama?

IMG_0485.jpeg
 
Mbona ya TRC kutoka jointed kwenda continuous welded tunafanya kazi wenyewe?
Wakandarasi waliokuwepo ni wenye mashine tu wanasimamia mashine zao.
Hiyo TAZARA inafanyiwa ukarabati mkubwa kila idara kijana.
Kelele za chura, mulienda kuitisha msaada wa kurefurbish reli. Nchi mbili maskini na zote zinakosa engineers wakurekebisha reli baada ya kusamehewa deni. 🤣🤣🤣 Aibu.
 
Naona umeanza kudata.
Hiyo reli inaenda kubadilishwa kuwa ya kisasa sio kufanyiwa refurbishment kama unayodhani wewe.
Mpaka sasa Kenya hamuna reli wenye ubora kama wa Tanzania.
Kama mna uwezo na ninyi si mngeboresha metre gauge yenu?
Mbona bado ipo jointed rail!??
Makalio wewe
 
Refurbishment imebadilisha meaning kwani? 🤣 🤣 🤣 Meter Gauge yetu tulijfanyia refurbishment na inafanya kazi vizuri sana. Nyinyi lazima musaidiwe na China baada kusamehewa deni. 🤣🤣
 
😂😂😂😂😂😂😂Refurbishment ipi mmefanya kwa metre gauge yenu!??
Mbona bado ipo mfumo wa zamani wa jointed rail!??
Wenzenu wote wanahamia continous welded.
Nioneshe reli ambayo ni continuos welded hapo Kenya nihame JF sasa hivi.
 
Kwa hivyo reli ispokua continuous welded haiwezi fanya kazi? 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom