Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante Sana DP world , kwa mara ya kwanza kabisa shirika kubwa tanzakundu TPA imekosa pesa za incentives kwa wafanyakazi. Kumbuka wafanyikazi waliambiwa wachague Kama watahamia kwa mwajiri mpya DP ama watabakia kwa TPA. Sasa waliobakia TPA hamna kiinua mgongo huu mwaka. Shirika lililo jengaa magorofa Dar slum leo halina kitu. Kuandamana sio Uzalendo ndivyo wanasemaga🙌View attachment 3085823
Wewe term Kundu inaendana nyie na mlibatizwa na NDINDA linatokana na neno Kundustan sasa usijaribu kubadilisha maana story za Kunya vichakani na flying toilets ni zenu hata jina Kenya linaendana na Kunya!
 
Kenya to the world. No Tanzanian will ever get to these levels.

1725379425311.jpeg

1725379521089.jpeg
 

Kipindi mna brag vitu vya kipuuzi kuvaa Kenyan bracelet na jezi Tanzania is Known kama taifa lenye diplomasia kubwa hapa Afrika.
Sio East Afrika bali Afrika nzima.
Ndio maana hata UK wana diwani ambaye ni asili ya Tanzania,tena alihamia UK wala hakuzaliwa na kukulia UK.
Wakati huo huo TZ tuna mama yetu Tulia Ackson rais wa mabunge duniani.
Ninyi hiyo kuvaa bracelet za Kenya sijui kunawaletea faida gani.
Ni sawa na mtu mwenye umaarufu usio na faida.
 
Back
Top Bottom