Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Kwa bahati mbaya ama nzuri 😂 hizo berth kadhaa ndio backbone ya mizigo yote ya TanzaniaUshaambiwa "to run some cargo berths".
Yani kupewa na kuendesha baadhi ya gati.
Chukua hiyo fananisha na Adani kuendesha airport nzima ya JKIA.
Yani TPA Adani akizingua hata kesho tunampokonya gati,aya vipi ninyi!?