Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
View: https://x.com/C_NyaKundiH/status/1830698208617443782
mara ya mwisho nasikia mabasi kutekwa bongo ni miaka ya 2005 tena njia ya nyakanazi. jeshi bora afrika miaka hii bado utekaji unaendelea
Majambazi ya CCM yanateka watu kila kukicha Mzee usiombe wakushike 😂😂😂