Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Kesho Kenya Police will meet Simba at the semis. Ngoja uone hile kichapo Simba itapata.
Siyo Kesho. Simba inawachapa 5.Kesho Kenya Police will meet Simba at the semis. Ngoja uone hile kichapo Simba itapata.
Kesho ni Simba Queens v PVP Buyenzi😎Kesho Kenya Police will meet Simba at the semis. Ngoja uone hile kichapo Simba itapata.
We are feasting good kule lazy land😂😂👇👇👇
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1826495459868717070
Hakuna pesa NairobiYani hakuna hata bank moja ya bongoslum with a branch in Nairobi. 🤣 🤣 🤣
Halafu hizo nchi za franco fone ni masikini kufuru ya rahmani.Kawaida watu wenye lugha yao hawawezi kumbeza mtu asiyejua kuzungumza lugha yao vizuri, tena ufurahi wakimuona anajaribu na huwa tayari kumfundisha kwa upendo, kubeza mtu asiyejua lugha fulani ambayo yeye anaiona superior kuliko nyingine na ofcoz huwa sio yake hutokea kwa washamba na malimbukeni ambao hawana lugha yao rasmi ya kuwasiliana (lingua franca) kama Wakenya na Kiingereza au West Afrikans na Kifaransa.
Niliwahi kuwa Kigali siku moja nikakutana na Mcameroon mmoja, eti alishangaa kwanini sijui Kifaransa (actually I just don’t know French, I hate it) nikamuuliza we unajua Kiswahili? Akacheka kwa dharau, eti Swahili? Where will Swahili takes you my friend? Nikamuuliza what will French helping me in East Afrika? Don’t you see even Rwanda is ditching it? Nikamwambia, wake up brother your in East Afrika, keep your French ego shit to yourself……….nobody gives a shit here, I would rather learn Chinese.
4th wealthiest city in Africa, Dar is a slum hata top ten haiguzi.Hakuna pesa Nairobi
Wealth in terms of Liabilities but Not Assets.4th wealthiest city in Africa, Dar is a slum hata top ten haiguzi.
Hatuja exhaust our market yet hence no hurry.Yani hakuna hata bank moja ya bongoslum with a branch in Nairobi. 🤣 🤣 🤣
Slum sheds 😁Wealth in terms of Liabilities but Not Assets.
Show as the Assets of Nairobi.
Informal economy, watu wakuweka pesa chini ya mattress.Hatuja exhaust our market yet hence no hurry.