REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,240
- 10,929
Lugha inaanzaje kwao wakati hata hawaijui lugha yenyewe. Wakenya ni watu wa kudandia tu kujipatia sifa za kijinga.Ona huyu kuku sijui anaongea nini.
Kiswahili kinaanziaje sehemu ilhali sehemu haijawa mji!?
Hiyo Lamu kabla hata haijajulikana kuwa Lamu ZANZIBAR NA KILWA ZILIKUA MIJI MIAKA 300 PLUS ILIYOPITA.
Kiswahili kilianzia pwani ya Tanzania na mizizi yake ya lugha ni kibantu,kiarabu na lugha zingine za kigeni.
Tena kuna ushahidi wa kiswahili kuanza kuandikwa kwa kutumia herufi za kiarabu ambazo karatasi zingine ziliandikwa na Chief Mkwawa.
Kiswahili kama sio kibantu cha Afrika mashariki hususan Tanganyika kuunda sauti za nasibu zinazoendana na lugha ya kiarabu basi kisingezaliwa.
Najua historia kuliko hata wewe.